Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Umeeleweka sana yote uliyoyaandika. Lakini watakuja waungwana wataponda wao wanataka rais awe mwanaume tu.

Hata akifanya maajabu na masuala kama ya kuua watu na kuwatupa Coco Beach ndani ya viroba kwao ni poa tu kisa ni wa jinsia ya kiume.

Hata akifanya roho mbaya ya kuwanyima watu malipo ambayo ni jasho lao stahiki ilimradi ni mwanaume basi anafaa kuliko kuongozwa na mwanamke.

Kuna watanzania wenye matatizo ya akili kwa maana ya kuamini katika ujinga wa mwanaume una afadhali kuliko haki anayoitoa mwanamke!.
 
Dogo hajui maana ya trilioni, asameheme tu.

Hajui kuwa bajeti ya nchi nzima ni trioni 39 na ambazo ili zitimie kuna hadi 30% za msaada kutoka kwa wahisani.

Vv
Daaah Bajeti nzima ni Trl 39?
 
huyu huyu ndo sukari yetu, twamtaka tena na tena yakhe, aendelee mpaka 2045.
 
Wasaka tongeeeee, mna shida kweli kweli, yule mwingine mlim danganya mwisho wa siku corona ika mfyeka, haya huyu naye mnaanza kumuingiza cha kike
 
Nyinyi wachumia tumbo ndio mnatuharibia nchi hii,mnasifia mpaka yetu, OK mwambieni upande wa mfumuko wa bie amepata zero
 
Kalamu1 jaribu kusoma upya ukichoandika hapa naona kuna contradictions. Unasema husomi na still unafanya argument na mada uliyoidharau.

Walioiponda mada wala hawa comment, kwa ku comment inadhihirisha umeisoma, umeelewa na umekuwa provoked.
 
Wewe ni mchafuzi usiyejua unaloongea. Nchi imerudi kuwa genge la wanyang'anyi. Waambie waliokutuma kwamba uliowakuta sio mandezi waliowafikiria.
 
Ujinga tu.hizo porojo mnapata wapi muda wakuziandika kwenye umaskini wote huu.
 
Mkuu ushakula kitengo kaa pembeni chuma pesa hizo mengine acha kuropoka ropoka
 
Mkuu ushakula kitengo kaa pembeni chuma pesa hizo mengine acha kuropoka ropoka
Nimeropoka kipi mkuu wangu? Halafu kitengo nilichopewa na Mungu nikuisemea Tanzania kama hivi tu,
 
Hizi ambulance zipo wapi au ndio tunasubiria
 
Nimezunguka karibia Tanzania yote katika miezi 2 lakini hayo Madarasa sijui yanajengwa wapi?!!..kuna sehemu bado watoto wanatembea zaidi ya 5 kilometres kutafuta Elimu ya msingi na zaidi ya 20 kilometres kupata Elimu ya sekondary...
 
Hebu yataje hayo maeneo mkuu wangu
Kuna maeneo huduma ya Afya ni Tatizo tena kubwa sana!!..Hakuna wahudumu na kwenye wahudumu dawa hakuna!!..Kituo cha Afya cha Kata ukienda saa 7 mchana hakuna huduma hebu fikiria Mama mjamzito inakuaje hapo?!!..Hebu waza kitu cha Afya hakuna Dawa na ili upate Dawa unapanda pikipiki 2000 au zaidi wakati unaenda kununua Dawa ya 3500!!..
 
Hopeless
 
Hebu yataje hayo maeneo mkuu wangu
Serikali ilikosea kuhodhi kila kitu!!!...Kwa Mfano nimeenda kijiji flani huko Kilimanjaro shule zote na vituo vya Afya vilijengwa na wamissionary na Serikali imevichukua lakini ndio vimeishia hapoa!!..Hakuna mwendelezo shule na vitu vya Afya vya tokea miaka ya 70 ndio hivyo hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…