Nashukuru sana serikali inarudisha JKT maana kule kijana anatoka akiwa anaweza kujitegemea na yuko tayari kwa lolote kwa maslahi ya taifa lake.
Hizo pesa za kuwahudumia hao watakaojiunga na JKT kila mwaka kwa nini zisitumike kuongeza lecture rooms, laboratories, studios, seminar rooms na tena viwe vinakuviequiped ipasanyo; kujenga mabweni ya wanafunzi, office spaces na nyumba kwa staff na mambo mengine mengi ambayo ya muhimu yanayokosekana katika vyuo vyetu. Zaidi ya hapo, wanafunzi wote wasio na uwezo wasome bure.
JKT thing is not a priority when lots of basic needs are missing.