ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
- Thread starter
- #261
Kama hamtaki kufananisha Tanzania na USA basi ifananisheni na Rwanda au Msumbiji, yote chagueni nyinyi. Tafuteni mfano wa nchi hata moja tu ambayo serikali yake inawakopesha wanafunzi wote asilimia 100 ya mahitaji yao.
Mimi sijakataa ugumu wa hali ya maisha Tanzania, na hii si kwa wanafunzi peke yao. Ila ninachopinga, narudia tena, ni hii notion kwamba wanafunzi wote hawajiwezi na hivyo serikali iwakopeshe asilimia 100 za mahitaji yao. Hili niaendelea kurudia tena na tena.