Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,233
Hivi kwa nini Chadema hawatoi matokeo yao according to data kutoka kwa wasimamizi wao vituoni? NEC wamechelewa kutoa hayo matokeo kwa uzembe wao sidhani kama ni uvunjaji wa sheria wakati wao wamepewa kopi zao. Wanashindwa kujumlisha kura takriban 20 million? Ingekuwa mpunga wangefanyaje?
Hatutaki mikutano ya siri tunataka matokeo yote ASAP. Hatuko kwenye stone age yya wagagagigikoko? Tutamuacha JK aendelee na U-robin cruso wake.
Hatutaki mikutano ya siri tunataka matokeo yote ASAP. Hatuko kwenye stone age yya wagagagigikoko? Tutamuacha JK aendelee na U-robin cruso wake.