Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Mwenyekiti wa NEC ndio ameingia na kuanza kutangaza matoke ya majimbo 10. ameanza na jimbo la Micheweni, Lipumba kaongoza
 
Singida
JK 19 000 plus
Dr. 5000 plus

Korogwe
JK 10761
Dr. 3135
Prof. 394
 
KWa kuwa wachakachuaji wote wako tayari majimboni, tunaanza kupewa yaliyochakachuliwa!!!

Mungu tusaidie...:doh:

optimist-tshirt_design.jpg


 
Majumuisho jamani kwa majimbo hayo yote atakayoyatangaza ndio twataka....!
 
WEB YANEC JAPOKUWA NI SLOW HAINA CHOCHOTE KIPYA MPAKA SASA!!!:A S angry:
 
Mbona sioni mkiandika updates wakuu?

So far JK anaongoza au sio?
 
baada ya kutangaza majimbo matano, sasa ni mapumziko a dakika moja.
 
Duuh yani turn up Zenji kwenye baadhi ya majimbo ni 100% hii inatia shaka kidogo...!
 
Babati Mjini

Dr. Dlaa - 7582 JK - 12,696 Prof. Lipumba - 102 Duh ndugu zetu wa Babati mmemsakliti Dr. wa ukweli kwa trend hii naanza kukubali kuwa JK atashinda kwa zaidi ya asilimia 70% so sad ila twahitaji wabunge wa kutosha
 
Back
Top Bottom