Tanzania earning 1.9 in mines!

Koba nini kifanyike???? kwa kuwa makosa yameishafanyika tuache hivyo hivyo sababu 40% ya budget inatoka kwao? hii sikuelewi fafanua mazee

...badilisha sheria za sasa zinazotumika kusign hiyo mikataba na endelea kuwaomba kama wanavyofanya sasa na kama kuna chochote katika sheria za sasa tunachoweza kutumia ili kurekebisha tumia!
 
...badilisha sheria za sasa zinazotumika kusign hiyo mikataba na endelea kuwaomba kama wanavyofanya sasa na kama kuna chochote katika sheria za sasa tunachoweza kutumia ili kurekebisha tumia!

Zipo nchi nyingi zenye dhahabu ambazo zinanufaika na dhahabu yao. Kwa nini basi na Tanzania isinufaike na rasilimali zake!? Hivyo na sisi tunaweza kuichukua mifano toka nchi hizo na kulinganisha na mikataba yetu na kuwaambia hao Barrick kwamba Tanzania haipati manufaa yoyote na dhahabu yetu hivyo ni lazima marekebisho yafanywe au la waondoke. Hatuwezi kuwa waoga wa kupambana na hawa WEZI eti 'tutawatangaza duniani nyinyi ni wababaishaji'! Si ajabu kuna tofauti kubwa sana na mikataba ya uchimbaji wa dhahabu waliyosaini na nchi nyingine. Heri hiyo dhahabu ibaki ardhini kuliko kuwanufaisha hao WEZI.
 
La kuvunda halina ubani. wamejitahidi sana kuficha ripoti za tume wanazoziunda wenyewe, technolojia ya kisasa inawaumbua. Wanaficha aibu, aibu iliyosababishwa na akili na tamaa zao wenyewe. hawataki kuonekana kina sultani mangungu wa kizazi kipya maana Elimu zao zinawasuta. wanajaribu kukimbia vivuli vyao wenyewe bahati mbaya jua nalo halijazama.

"NI HERI KUONGOZWA NA VIONGOZI WASIOSOMA KULIKO KUONGOZWA NA WASOMI LAGHAI" Maana wasiosoma hawataona aibu kwenda UDSM kupata NONDO. Wamegundua sheria hazifai, badala ya kuweka mkazo kuzibadili, haoooo London Hotelini kusaini mkataba mwingine kwa sheria ile ile inayoliangamiza taifa. Kama tulikosea mwanzo kwa nini tuendelee kukosea? Je huku ndiko kujifunza? Nasema Madini ni yetu, haraka ya nini kutaka kuyachota, kwani viongozi wetu ni wagumba kwamba hawana watoto? STOP SIGNING MORE CONTRACTS mpaka kwanza kieleweke.
 
...mnaongea tuu na hamko serious hapo ni blah blah tuu ambayo ndio hiyo hiyo ilitufanya tukasign mikataba hiyo hiyo ndio mnaileta hapa,badala ya kuwa wakweli mnataka kuleta masifa tuu yasiyo na maana...eti waondoke watuachie madini yetu? vipi na nyie mtawarudishia mabilioni yao waliyowekeza kwenye hiyo miradi au? .. naona mntaka kurudishwa stone age na hao wazungu na ukizingatia 40% ya budget ni kwao[/B]

Koba,
Mfano wewe ni Mmiliki wa kundi la Ng'ombe. Nikaja kwako nikakulaghai uniuzie majike na baadhi ya madume. Na kwa uelewa wako wa wakati huo ukakubali kukodisha kundi lote kwa sharti la kuwarejesha baada ya miaka kadhaa. Masharti haya hayakuangalia kurejesha pia vizazi vipya vitakavyozaliwa, maziwa na bidhaa za nyama au ngozi kwa wale watakaoshinjwa. Wewe utarejesha tu kundi kama ulivyolichukua!

Uhusiano wetu ukadumishwa na ikafikia mahali hata nguvu kazi yako hutegea kizazi changu. Bahati nzuri kila mwaka wake zangu hujifungua. Ila kwa bahati mbaya watoto wetu huathiriwa sana na kwashiokor na utapiamlo na hata kupoteza maisha. Kwako watambua umuhimu wa wanangu kama nguvu kazi yako. Na pia wajua fika haya si magonjwa bali ukosefu wa msosi. Kwa kuwa unao ng'ombe wangu wanaokupa maziwa mengi na watambua maziwa kama chanzo cha protein yatamaliza matatizo ya wanangu (nguvu kazi yako)ukaanzisha utaratibu wa kuchangi lita 4000 kila mwaka wake zangu wanapojifungua.

Sasa swali Bw. Koba; nani hapa anamtegemea mwenziwe na nani anamchangia mwingine?

Tuje kwenye hali halisi ya kinachotokea hapa Danganyika. Tuanze na mifano hai midogo midogo kuhusu wafadhili wa humu humu Republic of Danganyika. Rostam Aziz (King Creator)wakati akiwa mtu wa kawaida kabisa na karibu sawa na kabwela alichukua mikopo mingi toka Bank ya NBC. Enzi hizo ikiwa Chini ya Chama na Serikali na RA akiwa kama mpambe wa CCM. Huhitaji mpaka huoji kujua kwamba Mikopo ya Mabilioni ilitolewa kwa Vi-MEMO. Baadhi ya Fedha za mikopo hiyo ilikujatumika baadaye kununua Makampuni yaliyobinafsishwa kama Bora na Viwanda vingine. Viwanda vyote chini ya RA vimegeuzwa Godowns na Madeni ya NBC (Mtaji wa RA) haujawahi fuatiliwa. Alipomega sehemu za madeni haya akasaidia Chama akaitwa MFADHILI MKUU NA TENA AKAPEWA M/HAZINA CHAMA...!

Spain Master, Dalali Bingwa toka shule ya Kariakoo, namzungumzia Manji wa Quality Group alichukua bilion 6 akanunua jengo la PPF na ndani ya Miezi 12 akawauzia haox2 jengo lilex2, eneo lilex2 kwa bilion 43.2

Manji kwa kujua umbumbumbu wa TRA officers. Wakati wa kuleta machine za kuchezesha KITITA alipitisha Terminal fulani hizo machines free of tax. Waliloambiwa hawa vijana wa Danganyika ni kuwa hizo zilikuwa Screen za Computer ambazo kwa sheria ya miezi hiyo screen zilikuwa hazilipiwi ushuru. Thamani ya Mzigo uliopita ilikuwa yapata TShs. 300 milioni! Hadi leo naandika KITITA imechezeshwa mara nyingi, watu wamelambwa sana tu TShs. zao lakini la kustaajabisha hata mara moja mshindi hjawahi patikana. Na sasa hii kamri nasikia imepigwa marufuku. Wakina Koba walipopewa ofa CCM Kirumba wakamwita MFADHILI MKUU WA MICHEZO TANZANIA

Twende kwa wafadhili wa nje ya Danganyika. Nimepeni feelings zenu kama somo la juu linaleta mantiki kabla sijatoka nje ya Danganyika. Kisha nitaleta hii mada but in HAKUNA MLO WA MCHANA WA BURE Wafadhili daima wanarejesha sehemu ndo sana ya jasho letu kwa jina la msaada, kuchangia n.k
 
Spain Master, Dalali Bingwa toka shule ya Kariakoo, namzungumzia Manji wa Quality Group alichukua bilion 6 akanunua jengo la PPF na ndani ya Miezi 12 akawauzia haox2 jengo lilex2, eneo lilex2 kwa bilion 43.2

Manji kwa kujua umbumbumbu wa TRA officers. Wakati wa kuleta machine za kuchezesha KITITA alipitisha Terminal fulani hizo machines free of tax. Waliloambiwa hawa vijana wa Danganyika ni kuwa hizo zilikuwa Screen za Computer ambazo kwa sheria ya miezi hiyo screen zilikuwa hazilipiwi ushuru.

its corruption...period!
 
...mnaongea tuu na hamko serious hapo ni blah blah tuu ambayo ndio hiyo hiyo ilitufanya tukasign mikataba hiyo hiyo ndio mnaileta hapa,badala ya kuwa wakweli mnataka kuleta masifa tuu yasiyo na maana...eti waondoke watuachie madini yetu? vipi na nyie mtawarudishia mabilioni yao waliyowekeza kwenye hiyo miradi au? kwa ufupi hatuna huo uwezo na hatuwezi labda kama tuko tayari kulipa price kubwa kuliko hayo madini na alichosema Masha ndio ukweli ambao JK alitakiwa aseme kutoka mwanzoni kuliko spin zake ambazo hazina maana...

Mkulu Koba,

Heshima mbele, haya maneno ni mazito na inatakiwa iwe mwisho wa na mwanzo wa hii topic!
 
Koba,

Hapa JF sio kwamba watu hawaelewi kuwa mikataba tuliyoingia ni MKENGE usiowezekana kugeuzwa unless tungekuwa na viongozi jasiri kama Chavez au Mugabe.....that been said

Hawa hawa akina Masha ndio wametuingiza ktk hii mikenge ambayo bado wanaikimbilia kusaini WHY talking now...............ni vyema vinywa visafi vikafungua midomo yao sio huyu Masha........................ningekuwepo kwenye huo mkutano ningefanya kama alivyofanya King wa Spain kwa Chavez.............ningemwambia Masha SHUT UP YOUR MOUTH!!

yes tumeingia mkenge hatauwezi badili......................then why mnasaini mikataba mipya?................somebody need to tell these people to SHUT UP!

Kimaadili mtu kama Maria Kejo anafanya nini kwenye uchunguzi wa mikataba yetu?? is it not a cover up?..................yule mama ni njia mojawapo ya kuwanyamazisha watu ktk hizo kamati......................thats how MAFIA plays around in order to know who is the enemy kwa kuweka agent wao.......................can one tell these people we are tired of these Mumble Jumble................and its now high time to talk sense!
 
Zipo nchi nyingi zenye dhahabu ambazo zinanufaika na dhahabu yao. Kwa nini basi na Tanzania isinufaike na rasilimali zake!? Hivyo na sisi tunaweza kuichukua mifano toka nchi hizo na kulinganisha na mikataba yetu na kuwaambia hao Barrick kwamba Tanzania haipati manufaa yoyote na dhahabu yetu hivyo ni lazima marekebisho yafanywe au la waondoke. Hatuwezi kuwa waoga wa kupambana na hawa WEZI eti 'tutawatangaza duniani nyinyi ni wababaishaji'! Si ajabu kuna tofauti kubwa sana na mikataba ya uchimbaji wa dhahabu waliyosaini na nchi nyingine. Heri hiyo dhahabu ibaki ardhini kuliko kuwanufaisha hao WEZI.

Kama nchi gani hizo zinafaidika Bubu? To my knowledge, (I stand corrected) mikataba inayoingia nchi zinazoendelea, hata zilizoendele for this matter haitoi royalties kubwa kama wengi tunavyofikiri. Nenda popote uulizie usikie kama kuna nchi inaleta investors wachimbue madini yao na wanapata zaidi ya 5%, si kwamba Tanzania pekee tunalaliwa. (Kulaliwa tunalaliwa, ila si Tanzania pekee). Wazee wa World Bank wanao-fund hizi mining companies kupitia International Finance Corporation (IFC) ambayo kazi yake kubwa ni kusupport private sector companies directly. Sasa, wanaoweka terms ni World Bank, na policies za mining royalties sidhani hata siku moja zinazidi 5% na kama zinazidi ni asilimia ndogo sana. Hata tukipiga kelele na kamati zije za ku-re-evaluate hizi terms, ni sawa na kucheza makidamakida tu, hao kina Barrick ni kitu mtoto tu, wanafuata policies set. WB pamoja na other big players wako pembeni na wanaendelea kupeta tuu hapo mjini Washington DC.

Sasa sisi tuendelee tu kuja na kamati za kuangalia contract za madini yetu, I'm not sure how good they will do, if any! I don't know! Lakini, I will be optimistic. Huwa nina tendency ya kuamini miujiza! Anything else, tutaliwa tu!
 
Kimaadili mtu kama Maria Kejo anafanya nini kwenye uchunguzi wa mikataba yetu?? is it not a cover up?..................yule mama ni njia mojawapo ya kuwanyamazisha watu ktk hizo kamati......................

Mkulu Ogah,

Heshima mbele mkulu, kwenye hili la huyu mama ninakubaliana na wewe 100%, hakupaswa kuwemo kwenye hii kamati period!
 
Kama nchi gani hizo zinafaidika Bubu? To my knowledge, (I stand corrected) mikataba inayoingia nchi zinazoendelea, hata zilizoendele for this matter haitoi royalties kubwa kama wengi tunavyofikiri. Nenda popote uulizie usikie kama kuna nchi inaleta investors wachimbue madini yao na wanapata zaidi ya 5%, si kwamba Tanzania pekee tunalaliwa. (Kulaliwa tunalaliwa, ila si Tanzania pekee). Wazee wa World Bank wanao-fund hizi mining companies kupitia International Finance Corporation (IFC) ambayo kazi yake kubwa ni kusupport private sector companies directly. Sasa, wanaoweka terms ni World Bank, na policies za mining royalties sidhani hata siku moja zinazidi 5% na kama zinazidi ni asilimia ndogo sana. Hata tukipiga kelele na kamati zije za ku-re-evaluate hizi terms, ni sawa na kucheza makidamakida tu, hao kina Barrick ni kitu mtoto tu, wanafuata policies set. WB pamoja na other big players wako pembeni na wanaendelea kupeta tuu hapo mjini Washington DC.

Sasa sisi tuendelee tu kuja na kamati za kuangalia contract za madini yetu, I'm not sure how good they will do, if any! I don't know! Lakini, I will be optimistic. Huwa nina tendency ya kuamini miujiza! Anything else, tutaliwa tu!

Hivi jamani hakuna mtu yeyote anayeweza kupata mikataba ya madini ya Ghana, Botswana au nchi yingine yeyote ile duniani ili tuichambue hapa JF. Kisura kuwaachia hawa jamaa wachukue 97%, waajiri wazungu ambao qulification wise ni watupu ukilinganisha na wabongo, waagize kila kitu toka vyakula, vinywaji, matunda na hata stationeries nje ya nchi ni uwendawazimu! lazima kuwe na namna ya kuwabana hawa ili tunufaike, haiwezekani kunyamaza kimya na kukubali kuendelea kupata 3% tena ya bei ya mwaka 47 ambayo ilikuwa ni $238 kwa ounce moja na sasa hivi bei imefikia mpaka $800 kwa ounce.
 
Kisura nilikuwa napekuapekua mtandaoni nikakutana na hii article ambayo inaonyesha kulikuwa na joint venture ya 50:50 kati ya kampuni toka Australia na local company ya Ghana. Kwa hiyo kuna makampuni inaelekea yanakubali kuingia mkataba wa nusu kwa nusu.

Hii article nimeichukua hapa:

http://findarticles.com/p/articles/mi_go2324/is_200203/ai_n6735743

GHANA: $100,000,000 gold mining contract extension, AFRICAN MINING SERVICES (AMS) [Ghana/South Africa/Australia] - Order #: 039402.
WWP: Report on Mining, Metal Making and Conversion, March, 2002


PROJECT OVERVIEW:

The local AFRICAN MINING SERVICES (AMS), a 50:50 joint venture held by Australia-based HENRY WALKER ELTIN (HWE) and AUSDRILL, recently secured a gold mining contract extension from the local GOLDFIELDS GHANA.

The operations in question are being extended at the Tarkwa gold mine in Ghana. Under the terms of the extension, AMS will continue to provide mining services for up to 24 months beginning in June 2002. The latter include load, and haul, drill and blast as well as grade control drilling.

Related Results
Current Research on Newmont...
Lycopodium stock drops on...
Alcoa, Ghana reach deal on...
Alcoa inks pact to develop...
Most Popular Articles
in Business
Smart investments for ...
Culture, leadership, ...
Skip-level meetings ...
Life without illegal ...
Perks for part timers ...
More »
According to Richard Ryan, CEO of HWE the value of the supplementary contract amounts ...

Want to read the whole article? You can purchase it here. It's quick and easy.
 
Yaani kweli nashindwa kabisa kumuelewa huyu waziri Masha.Yaani waziri mzima anaona ni bora kuwafurahisha watu wa makampuni huku wananchi wake wanataabika na kufa kwa kukosa huduma muhimu.Hawa ndiyo viongozi ambao tunatarajia watawakomboa wananchi kutoka kwenye dimbwi la umasikini uliokidhiri? Kumbuka kuwa wakati wao wakitembelea mashangingi kuna asilimia kubwa tu ya wananchi ambao wanashindia mlo mmoja kwa siku au wanalala bila ya hata kula mlo wowote ule!
Hivi ni wananchi wangapi wanaelewa mambo yanayoendelea kwenye yale machimbo.Unaambiwa jamaa wanachukua siyo madini tu bali hadi mchanga! Wanatumia Technologia ya hali ya juu kabisa kuchimba na kuchukua kila kitu! na nchi yetu kipenzi inaishia kupata makombo! hawa wawekezaji wa namna hii hatuwataki.Kwa kifupi Tanzania hainufaiki kabisa na madini yale.Hatuoni mabadiliko yoyote ya hali ya maisha ya wananchi kutokana na madini hayo.Hawa jamaa wanajua hilo na ndiyo maana wanaendelea kutumia vigezo vya kwamba mikataba ikisainiwa haigeuzwi.
Sasa basi mimi ningeishauri serikali kutaifisha sekta ya madini. Wacha waseme na kuutangazia ulimwengu mzima kuwa tumefukuzwa Tanzania kwa kuwa tulikuwa tunawalipa asilimia 3% ya mapato.Nionavyo mimi kwa sasa sekta ya madini ni nyeti mno.Ni lazima iwe chini ya serikali na kuangaliwa vizuri na bunge.Na kama nikuwekeza basi watafute wawekezaji kwenye sekta nyingine muhimu kama kilimo,utalii,makazi,elimu,afya na kwingineko na siyo sekta muhimu kama ya madini.
Hebu nyie viongozi wa Tanzania amkeni! kila siku wazungu wanatucheka na kutukebehi kwa kila aina ya maneno machafu halafu nyie badala ya kubadilisha hali hiyo ndiyo kwanza mnaipalilia siku hadi siku.
Kweli natamani baba wa Taifa angelikuwepo.!!

Wembe.
 
No way out they have to leave our resorces as they are if they are not ready to sit and revisit all bad contracts.

We need to get our share not the way it is by now.

Waache watushitaki lakini watanzania tumechoka kunyonywa jamani madeni yetu yanaongezeka tu pamaja na utajiri wote tuliokuwanao je tuseme sisi ndio tutakufa maskini tuuu?? Hapana Hapana sasa ndio wakati wa ukombozi sio kesho ni leo JK tusaidie wapiga kura wako tunaangamia kwa umasikini uliotopea
By Mtanzania
 
NASHANGAA MWANASHERIA NA WAZIRI ANASEMA TUSIILAUMU CCM BALI TULAUMU SHERIA YA MADINI!! TANGU TUPATE UHURU, SERIKALI IMEKUWA YA TANU/CCM. SHERIA ZINATUNGWA NA BUNGE BUBU LA TANU/CCM. SIJUI WAZIRI ANA WAAMBIA NINI WASOMI HAO. WAFANYE UTAFITI GANI WAKATI KILA WARAKA WA SERIKALI, PAMOJA NA HIYO MIKATABA NI SIRI.HATA HIYO KAMATI YA HUYO WAZIRI ILIKUWA YA SIRI, NA HII ILIYOUNDWA SASA ITAFANYA KAZI ZAKE KISIRI SIRI WALA RIPOTI YAKE HATUTAIONA BALI ITAKWENDA KWA MUUNGWANA; NA YEYE WALA HANA MUDA WA KUISOMA KWANI HANA MUDA.ANAHUDHURIA "SHUGHULI" NYINGI (ZA VIFO, HARUSI,MICHANGO YA MAKANISA, NA HASA SAFARI ZA KITALII DUNIANI KOTE.)ZITTO NAYE ATAAPISHWA KUTOKUSEMA LOLOTE KUHUSU TAARIFA ILE (FEDHA FEDHEHA). WADANGANYIKA TUMEFUNIKWA MACHO TENA!!

macinkus
 
Nyinyi kwani hamumjui Masha. Huyu ni mmojawapo wa wakurugenzi wa kampuni ya tanzania one kule kwenye tanzanite.Kwa hiyo kama makampuni yamekataa na kutishia,inamaani na yeye ni mhusika mkuu kwenye hiyo move ya kugoma na kutishia kuichafulia jina nchi.Mwanzoni muungwana alimweka kwenye madini lakini baadaye akashtukia conflict of interest (mkurugenzi wa mining company) ndiyo akamwamishia mambo ya ndani.
 
Koba,

Hapa JF sio kwamba watu hawaelewi kuwa mikataba tuliyoingia ni MKENGE usiowezekana kugeuzwa unless tungekuwa na viongozi jasiri kama Chavez au Mugabe.....that been said

Hawa hawa akina Masha ndio wametuingiza ktk hii mikenge ambayo bado wanaikimbilia kusaini WHY talking now...............ni vyema vinywa visafi vikafungua midomo yao sio huyu Masha........................ningekuwepo kwenye huo mkutano ningefanya kama alivyofanya King wa Spain kwa Chavez.............ningemwambia Masha SHUT UP YOUR MOUTH!!

yes tumeingia mkenge hatauwezi badili......................then why mnasaini mikataba mipya?................somebody need to tell these people to SHUT UP!

Kimaadili mtu kama Maria Kejo anafanya nini kwenye uchunguzi wa mikataba yetu?? is it not a cover up?..................yule mama ni njia mojawapo ya kuwanyamazisha watu ktk hizo kamati......................thats how MAFIA plays around in order to know who is the enemy kwa kuweka agent wao.......................can one tell these people we are tired of these Mumble Jumble................and its now high time to talk sense!

It beats me how anyone could praise President Chavez for being a "bold leader" while at same breath identify with the reckless arrogance, contempt and humiliation displayed against the same Chavez by King Juan Carlos of Spain (head of Venezuela's former colonial masters)
 
the bottom line ni kwamba Masha kaongea NONSENSE!

haimaanishi kwamba ukiwa jasiri then huwezi kuongea nonsense. Chavez and/or Mugabe napenda ujasiri wa baadhi ya maamuzi yao.................however it does not stop them being criticized wakiongea pumba!!
 
Ni kweli tumeibiwa sana kwa sheria zilizopo na wasipobadilisha itaendelea hivyo,mnaonaje sasa na nyie mkianzisha kampuni zenu mkala ubia nusu kwa nusu na hao wazungu ili kupunguza hii hasara...msiseme hatuwezi maana game ni ile ile tuu kuanzia namna ya kupata pesa mpaka uendeshaji ingawaje haitakuwa rahisi sana lakini inawezekana.
 
Kimaadili mtu kama Maria Kejo anafanya nini kwenye uchunguzi wa mikataba yetu?? is it not a cover up?..................yule mama ni njia mojawapo ya kuwanyamazisha watu ktk hizo kamati......................thats how MAFIA plays around in order to know who is the enemy kwa kuweka agent wao.......................can one tell these people we are tired of these Mumble Jumble................and its now high time to talk sense!

...hapo JK kachemka,sijui wanategemea nini kutoka kwa huyo wakati yeye ndio alishauri huu upuzi wote tunaolalamikia,hawako serious hawa wanatuchezea tuu na kwanza sioni umuhimu wa hiyo kamati,wanatakiwa wabadilishe sheria zilizopo.
 
Haya tena angalieni mikataba hiyo mingine ambayo bila shaka italeta matatizo yaleyale.

Press Release Source: International Gold Mining Limited


International Gold Secures Major Position in Tanzania's Gold & Uranium Mining Sector
Thursday November 8, 9:30 am ET


VANCOUVER, BRITISH COLUMBIA--(Marketwire - Nov. 8, 2007) - International Gold Mining Limited (TSX VENTURE:IGL - News; the "Company" "IGL") has entered into two Joint Venture agreements on six tenements in the East Africa Republic of Tanzania to explore for uranium and gold.
ADVERTISEMENT


Three of these tenements are located within the large Bahi Swamp and Singida uranium provinces in Central Tanzania, adjacent to ASX listed Uranex NL's Bahi 'C1' prospect.

The other three tenements are located in Northern Tanzania, within the "Mara Greenstone Belt", a multi million ounce gold producing province on the eastern side of Lake Victoria near the Kenyan Border.

Exploration Potential - Central Tanzania Project

Bahi Swamp Tenements

The Bahi Swamp catchment area is a dry lake covering over 1,000 sq km, and incorporates an extensive closed drainage system that has developed over 27,000 sq km of weathered uranium rich "hot" Archaean granites.

Uranium accumulation within the Bahi catchment system has been recognised since the 1950's when uranium mineralisation was first intersected in a drill hole located near the centre of Bahi Swamp.

The recent positive exploration results announced by Uranex NL from the Bahi 'C1' prospect have reconfirmed the potential of the Bahi Swamp catchment area to host significant calcrete / playa, as well as roll front style uranium deposits.

At Bahi Swamp, the Company ("IGL") has joint ventured into two tenements consisting of one granted prospecting licence, and one application, totalling 1,821 square kilometres of ground.

These two tenements abut the western boundary of Uranex NL (UNX-ASX) project with assays from vertical channel samples reported to include 1.5m @ 2.4kg/t U3O8, 2.75m @ 1.33kg/t U3O8, and 2.0m @ 1.4kg/t U3O8.

These tenements have given the IGL a presence on the ground in a highly prospective area that has the potential to generate new economic uranium finds at a reasonable cost.

Singida Tenement

The Company has entered into a joint venture over a granted prospecting licence covering an area of 43 sq km. The area is considered prospective for gold, uranium, and diamonds.

The tenement lies on the south - eastern end of the Lake Victoria greenstone belt which hosts a number of multi million ounce gold deposits, including the 14 million ounce Geita Gold Mine, and the 12.5 million ounce Bulyanhulu Gold Mine.

Historical exploration in the area by the United Nations development program in 1982 identified three airborne radiometric uranium type anomalies associated with seasonal swamps, and underlying weathered "hot" Archaean granites, identifying the area as prospective for both calcrete / playa and roll front type uranium deposits. At the time the airborne radiometric anomalies were discovered, follow up drilling was proposed; however, this recommendation was never carried out.

Exploration Potential - Northern Tanzania Project

North Mara

The Company's tenements in Northern Tanzania are located within the Tarime district of the Musoma - Mara region in the north - western part of Tanzania, some 100 kilometres east of Lake Victoria, and 20 kilometres south of the Kenyan border.

These tenements lie within the "Mara Greenstone Belt" and along strike to the multi million ounce North Mara gold mines, operated by Barrick Gold.

Most of the gold occurrences in the area lie inside or within the vicinity of the greenstone belt. This association of gold mineralisation and greenstone rocks has been widely recognized by most recent and past students of the area.

Historically it is estimated that some 9 to 10 tonnes of gold has been produced in the area. Modern development and evaluation by other non-associated companies include:

1. North Mara Gold Mine (Barrick Gold Corp.) At the time of sale in 2003 (to Barrick Gold) some 4.7 million ounces (141 tonnes) of gold had been defined through exploration by Africa Mashariki Gold Mines. In 2005, Barrick Gold stated that it had defined an extra 1 million ounces in the area.

2. The Buhemba Gold Mine has a yearly production of over of 80,000 ounces of gold, and is currently owned and operated by Tanganyika.

The acquisition of these tenements gives IGL an on ground presence in this highly prospective greenstone belt which hosts the multi million ounces North Mara Gold Mine. The tenements acquired are located over prospective sequences within the 'Mara Greenstone Belt'.

Bahati Joint Venture terms - (three tenements in the Bahi Swamp and Singida areas and two tenements in the North Mara area).

Under the terms of the Bahati Joint Venture Agreement, IGL will pay the Bahati Investment and Mining General Co. Ltd. USD$35,000 and 500,000 fully paid shares in the Company, escrowed for 12 months to earn 51% interest in the tenements.

- On the second anniversary IGL shall pay the vendor a further USD$45,000 to earn an extra 24% to take the Company's interest to 75%.

- On the third anniversary, IGL shall pay the vendor USD$50,000 to earn an extra 15% to take its interest in the tenements to 90%.

- The Company can at its sole discretion pay the vendor, USD$500,000 at any time during the joint venture period to gain control of 100% of the tenements.

- The Company pays all exploration costs including rents and rates during the joint venture period.

The other tenements are located in Northern Tanzania within the "Mara Greenstone Belt", a multi million ounce gold producing province on the eastern side of Lake Victoria near the Kenyan Border.

Mase Tanzania Joint Venture (North Mara)

Under the terms of the Mase Joint Agreement, IGL shall pay Mase Exploration and Mining Company Limited, USD$10,000 to earn a 51% interest in the tenement.

- On the second anniversary, IGL shall pay the vendor USD$10,000 to earn an extra 24% to take its interest in the tenements to 75%.

- On the third anniversary year, the Company shall pay the vendor USD$10,000 to earn an extra 15% to take its interest in the tenements to 90%.

- The Company can at any time during the joint venture period, elect to pay the purchaser USD$70,000 to gain a 100% interest in the tenements.

- The Company pays all exploration costs including rents and rates during the joint venture period.

Qualified Person

These areas were visited and reviewed by Consulting Geologist Ian S Cooper, who has over twenty year's professional experience as a geologist in mineral exploration. He has worked on gold, base metal and diamond projects in Queensland, New South Wales, Victoria, Western Australia, Northern Territory and South Australia in addition to overseas experience in Sierra Leone, West Africa and the Philippines, Asia. Other overseas experience includes study visits to the USA, South Africa, New Zealand, Europe, the UK and Ireland. He graduated from the Royal School of Mines, London University, U.K. with B.Sc. (Hons) and A.R.S.M. (Associate Royal School of Mines) degrees from that institution. Previously he was the Senior Geologist for Sons of Gwalia NL in Eastern Australia and a geologist with the BP Minerals / Seltrust Mining Group. He is a corporate member of the Australasian Institute of Mining and Metallurgy a Professional Association as defined in National Instrument 143-101.

On behalf of the Board of Directors

INTERNATIONAL GOLD MINING LIMITED

Nick Revell, Director

To view the map accompanying this release please click on the following link: [media]http://www.ccnmatthews.com/docs/igm1108.jpg[/media]

The TSX Venture exchange does not accept responsibility for the adequacy or accuracy of this release.



Contact:
Investor and Media Inquiries
Longview Capital Partners Inc.
Spiro Kletas
(604) 681-5755
Email: skletas@longviewcp.com
Website: [media]www.ingoldmin.com[/media]


--------------------------------------------------------------------------------
Source: International Gold Mining Limited
 
Back
Top Bottom