Bajameni,
Mimi si mchumi, bali mbwabwajaji. Sasa if madini ambayo ni 1.9% ya GDP ya Taifa yanaingiza 50% ya forex, then something is wrong on this picture. It means kuwa hizo 98.1% ya GDP hazina nguvu za kutuleta japo 98.1% ya Forex?
bado sielewi kwa nini Madini ambayo ni tosha kuchukua japo 30% ya GDP yawe ni kiwango kidogo hivyo.
wakaitumia Stamico kuwa at least 40% owners wa Uzalishaji madini ili tupate japo 40% ya earnings?
Kwani Ardhi na Watu si wetu? mtaji pesa na Mitambo ndio vya Barrick (60%)?
Binafsi ningependa Madini yaweze kuwa na contribution kubwa kwenye GDP, hata hivyo nisingependa sekta kama hiyo ichukue 30%! Kwanini nasema hivyo Jibu ni kwamba Lazima Sekta zinazoajiri watu wengi, sekta zenye risk ndogo ndio zishike uchumi wa nchi nazo ni Kilimo,,, Leo hii sekta ya madini ikichangia sema 50% kwa mfano siku madini ya namna fulani yakishuka bei tumeliwa!!! Ndio maana nimesema hiyo percentage inadepend sekta zingine zinafanya nini!!!
Leo sekta ya madini kwa mfano ikichangia 90% ya GDP maana yake Watanzania hatufanyi kazi tunategemea sekta moja na ambayo umiliki wa wenyewe wa hiyo migodi sio wetu... hivyo kuliweka taifa kwenye risk.
Binafsi ningependa Madini yaweze kuwa na contribution kubwa kwenye GDP, hata hivyo nisingependa sekta kama hiyo ichukue 30%! Kwanini nasema hivyo Jibu ni kwamba Lazima Sekta zinazoajiri watu wengi, sekta zenye risk ndogo ndio zishike uchumi wa nchi nazo ni Kilimo,,, Leo hii sekta ya madini ikichangia sema 50% kwa mfano siku madini ya namna fulani yakishuka bei tumeliwa!!! Ndio maana nimesema hiyo percentage inadepend sekta zingine zinafanya nini!!!
Leo sekta ya madini kwa mfano ikichangia 90% ya GDP maana yake Watanzania hatufanyi kazi tunategemea sekta moja na ambayo umiliki wa wenyewe wa hiyo migodi sio wetu... hivyo kuliweka taifa kwenye risk.
Bajameni,
Mimi si mchumi, bali mbwabwajaji. Sasa if madini ambayo ni 1.9% ya GDP ya Taifa yanaingiza 50% ya forex, then something is wrong on this picture. It means kuwa hizo 98.1% ya GDP hazina nguvu za kutuleta japo 98.1% ya Forex?
Naomba mwenye proper break down ya exports zetu aiweke hapa, na zaidi hii GDP yetu ni kutokana na uzalishaji mali na mauzo bila "misaada"?
bado sielewi kwa nini Madini ambayo ni tosha kuchukua japo 30% ya GDP yawe ni kiwango kidogo hivyo.
If barrick can earn Billions of dollars, from Gold of tanzania, why are getting a mere hundred thousand or a million? does this make sense to anyone? Kwa nini Serikali isitumie zile pesa walizobwaga Meremeta, Tangold, Mwananchi na Deep Green wakaitumia Stamico kuwa at least 40% owners wa Uzalishaji madini ili tupate japo 40% ya earnings?
Kwani Ardhi na Watu si wetu? mtaji pesa na Mitambo ndio vya Barrick (60%)?
Binafsi ningependa Madini yaweze kuwa na contribution kubwa kwenye GDP, hata hivyo nisingependa sekta kama hiyo ichukue 30%! Kwanini nasema hivyo Jibu ni kwamba Lazima Sekta zinazoajiri watu wengi, sekta zenye risk ndogo ndio zishike uchumi wa nchi nazo ni Kilimo,,, Leo hii sekta ya madini ikichangia sema 50% kwa mfano siku madini ya namna fulani yakishuka bei tumeliwa!!! Ndio maana nimesema hiyo percentage inadepend sekta zingine zinafanya nini!!!
Leo sekta ya madini kwa mfano ikichangia 90% ya GDP maana yake Watanzania hatufanyi kazi tunategemea sekta moja na ambayo umiliki wa wenyewe wa hiyo migodi sio wetu... hivyo kuliweka taifa kwenye risk.
Kweli kabisa mkuu.
Madini yakiachiwa asilimia kubwa sana ya uchumi kutakuwa na matatizo iwapo madini hayo yatashuka thamani katika soko la dunia. Tukumbuke jinsi shaba ilivyoutesa na kuuporomosha uchumi wa Zambia baada ya kukosa bei nzuri katika soko la dunia miaka kadhaa hapo nyuma. Tusifike huku.
Uchumi unabadilika kila leo. Leo mazao ya biashara kama kahawa,, pamba n.k. yanaweza yakawa yameshuka bei katika soko la dunia na wakati huo huo bei ya dhahabu imeongezeka kwa kiwango kikubwa sana. Hivyo siyo siri kwamba mchango wa dhahabu katika pato la Taifa unatakiwa nao pia uongezeke ukilinganisha na kilimo. Ni kweli bei ya dhahabu inapanda na kushuka, na hiyo ni nje ya uwezo wa nchi zenye dhahabu. Kama bei y dhahabu inapanda basi hakuna cha ajabu chochote kuona dhahabu inachangia hata asilimia 50% ya pato la Taifa. Ndio uchumi ulivyo! na ni kichekesho kusema kwamba dhahabu isichangie asilimia kubwa ya pato la Taifa kwa sababu ikishuka bei kutakuwa na matatizo! 😕
Binafsi ningependa Madini yaweze kuwa na contribution kubwa kwenye GDP, hata hivyo nisingependa sekta kama hiyo ichukue 30%! Kwanini nasema hivyo Jibu ni kwamba Lazima Sekta zinazoajiri watu wengi, sekta zenye risk ndogo ndio zishike uchumi wa nchi nazo ni Kilimo,,, Leo hii sekta ya madini ikichangia sema 50% kwa mfano siku madini ya namna fulani yakishuka bei tumeliwa!!! Ndio maana nimesema hiyo percentage inadepend sekta zingine zinafanya nini!!!
Leo sekta ya madini kwa mfano ikichangia 90% ya GDP maana yake Watanzania hatufanyi kazi tunategemea sekta moja na ambayo umiliki wa wenyewe wa hiyo migodi sio wetu... hivyo kuliweka taifa kwenye risk.
Jee, hiyo ardhi, watu na STAMICO havikuwapo miaka zaidi ya 40 tokea enzi za ujamaa? Au unafikiri mradi wa migodi na kuchimba mafuta ni masihara? Unajua si vitu vingi Watanzania wanaweza kufanya na vikafanikiwa zaidi ya ku-organize vikao vya michango ya harusi na mikutano ya CCM Dodoma.
[COLOR="Blue" said:NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha amesema wawekezaji katika sekta ya madini nchini waligoma kubadilisha mikataba yao kwa madia ni makubaliano hali yaliyokuwa yamekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini[/COLOR][/size]
...mnaongea tuu na hamko serious hapo ni blah blah tuu ambayo ndio hiyo hiyo ilitufanya tukasign mikataba hiyo hiyo ndio mnaileta hapa,badala ya kuwa wakweli mnataka kuleta masifa tuu yasiyo na maana...eti waondoke watuachie madini yetu?