femalepilot
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 258
- 118
Wapo makomando wa kike, ila kulingana na nature ya training ni wachache sana wanaofanikisha kufika mwisho wa mafunzo yote. Ukomandoo unahusiana moja kwa moja na jeshi, komando ni mtu/binadamu anayefundishwa kupambana au kushambulia kwa ufanisi wa juu zaidi na kwa muda mfupi zaidi na kwa ghafla zaidi na katika mazingira hatarishi zaidi.
Kulingana na maelezo hayo angalia kama ni muhimu kuwa komando kwa matumizi yako binafsi.
Mfano kuweka mwili fit,jinsi ya kutumia bastola, sky diving na kadhalika mi napenda tu nijue ila bila kulitumikia jeshi.
Ok anza na matumizi ya mwili wako tu, zipo centre nying za self defense na combat techs! !!!
Matumizi ya bastola anzia na online techs ujue kwanza theory na requirements nyingine kwa mfano google (mark's man) utaona deflections na maana zake!!!!
Sky diving nchi nyingine ni kama recreation tu! !!!!!
Komando ni suala zaid ya hayo juu kwa mfano walinzi wa viongozi wanapiga hayo unayotaka saaaana ila kwa komando wanakaa fasta tu!!!!!
Oh sawa nimeelewa,nashukuru
Mkuu tumia japo akili ya kuzaliwa kidogo,,,hivi wangezikwepa risasi hapo uwanjani unadhani risasi hizo zingeelekea wapi?
hapana sijasema zote ila HUENDA zile ndio bora kabisa. Mwenye kiwango kizuri cha ufahamu wa mambo yale atakuwa ameishaujua uwezo wetu.
Sijawahi kuone jeshi eti linafanya maonyesho ya kuvunja matofali...IQ za watanzania hovyo kabisa
Tanzania ina makomandoo wangapi?
!
!
tumeona komando kipensi na komando joni sembuse comando maandazi hawa, kuna mdau kasema pamoja na kushuka na marashuti sijui maparachute walishindwa kuzuia twiga asipande ndege
Nimevutiwa na jibu ulomjibu mwenzio, especially ukizingatia umemwita idiot mwishoni, but funny thing is that wewe umeuliza swali n at the same time umejijibu kwenye sentence yako mwenyewe, halafu ukisoma vizuri comment yake huyo ulomsema na kumwita idiot, it makes more sense na ni fikra inayohitajika hasa kwa sasa if wanauwezo wa kuvunja matofali basi wakalinde rasilimali zetu, na amesuggest, if u read between the line, kwamba vita vya kisasa vimetawaliwa zaidi na tech where as kunja tofali kwako hakutaishusha drone. So, whose an idiot now?
jifunze lugha ndo uje kutukana wenzio humu
bwana mdogo nasisitiza kajifunze lugha,Ningekujibu na kujaribu ku explain ila i realized u r a person not familiar with slangs or txt msg chats, so itakuwa a waste of my time, but as far as the modern time is concerned, there is nthing wrong with tht sentence, secondly naomba usiinite mimi mtusi maana soma comment yangu unieleze wapi nimemtusi mtu?