CCM ITUOMBE RADHI wana michezo kwa SERA zake mbovu za MichezoMmmmm hadi nasonya
Upi tena? Unaota weww mtoto unaota unaota😂Kuna wimbo niliwahi kusikia wanasema "UNAOTA"
😂🤣
tutaendelea kushika mkia kwenye kundi letu mara zote tutakapopata nafasi.
Au Arajiga.Labda kayoko awe refa wa mechi zote za taifa stars
Huo huo 😂🤣Upi tena? Unaota weww mtoto unaota unaota😂
Acha majungu bro, majungu hayasaidii😀😃😄😁😆 Utekelezaji AFCON 2023. Hakuna kama Samia, Kidumu chama cha Mapinduzi. Zidumu fikra za mwenyekiti wetu.Ilani imeweka wazi umuhimu wa michezo. Kilichobaki Ni utekelezaji wake tu. Asanteni
Modirators kwanini mnanyofoa threads zangu za maana halafu threads za kijinga kama hizi mnaziacha tu.Ilani imeweka wazi umuhimu wa michezo. Kilichobaki Ni utekelezaji wake tu. Asanteni
Tatizo ni ,unyumbu ambao unaimarishwa na (ostracism)Labda siku ikianzishwa Afkoni ya majungu, figisu, ufisadi, upigaji dili, wizi wa kura, uchawa, kujipendekeza,
Ila siyo hiyo AFCON ninayoifahamu mimi. Huko tutaendelea kushiriki tu, badala ya kwenda kushindana! na pia tutaendelea kushika mkia kwenye kundi letu mara zote tutakapopata nafasi.
Kijana wa MorogoroMANULA SIO KIPA
Wenzetu viroba mnapata wapi na vimeshapigwa marufu zaidi ya miaka minne iliyopita?Ilani imeweka wazi umuhimu wa michezo. Kilichobaki Ni utekelezaji wake tu. Asanteni
Hongereni sanaIlani imeweka wazi umuhimu wa michezo. Kilichobaki Ni utekelezaji wake tu. Asanteni
Tumefikia wapi?Ilani imeweka wazi umuhimu wa michezo. Kilichobaki Ni utekelezaji wake tu. Asanteni