Tanzania bingwa AFCON 2024

Ilani imeweka wazi umuhimu wa michezo. Kilichobaki Ni utekelezaji wake tu. Asanteni
Acha majungu bro, majungu hayasaidii😀😃😄😁😆 Utekelezaji AFCON 2023. Hakuna kama Samia, Kidumu chama cha Mapinduzi. Zidumu fikra za mwenyekiti wetu.
 
Labda siku ikianzishwa Afkoni ya majungu, figisu, ufisadi, upigaji dili, wizi wa kura, uchawa, kujipendekeza,

Ila siyo hiyo AFCON ninayoifahamu mimi. Huko tutaendelea kushiriki tu, badala ya kwenda kushindana! na pia tutaendelea kushika mkia kwenye kundi letu mara zote tutakapopata nafasi.
Tatizo ni ,unyumbu ambao unaimarishwa na (ostracism)
 
Back
Top Bottom