Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,050
Arabs are part and parcel of this country, who knows if this is not their native land?
since when? Walipoleta biashara ya utumwa?
Arabs are part and parcel of this country, who knows if this is not their native land?
Hizo executive villas zinauzwa kiasi gani?
Hata mimi ndiyo niliposhangaa..ni huge project kwa eneo hilo. Hetu macho, Tanzania chochote kinawezekana!!
Tusubiri tujionee Saint. Hii ndo bongo bwana!
zina range kwenye USD 400,000 na ushee, infact huyo manager wa hapo alisema most of them zimeshalipiwa. ila sidhani kama ni ukweli maana mbona wanachelewa kumalizia?
People like you should be castrated so that we dont have such characters in future.
Al Shababu ndugu zako?
Na walio-master mind mabomu ya American Embassy DSM na Nairobi ni Wakwere?
Hii ni project ya watu binafsi si sawa na daraja. Nyumba zilishaanzwa kujengwa toka mwaka juzi....:A S-coffee:
Mbongo ni Mbongo tu, mnaletewa maendeleo unapiga majungu. Au ulitaka Tanzania yote iwe kama Mazenze. Kama ni pitares money na system ya ki bank inayosimamiwa na USA hapa nchini wangeshajulikana. Sometime tumia akili kidogo acha kutumia masaburi
ABOUT IPI LTD
Integrated Property Investments Limited was established in 2002 to take advantage of ever appreciating land and property values worldwide.As we have grown our projects and services have expanded into other forms of investment with equal success.Global focus has always been, and continues to be, an integral part of our company's identity and development.
Drawing on the extensive knowledge, resources, industry experience, and enthusiasm of our team and partners we seek to continue to identify and successfully invest in a wide variety of profitable projects and opportunities. We seek to represent the best interest of all of our clients and investors in all that we do while maintaining a level of complete professional integrity.
Successful investment in today's busy global environment can be confusing and intimidating. At I.P.I Ltd. our knowledgeable and experienced team of investors and managers work closely with a trusted group of partners and industry experts to take the guess work out of investment.
With a proven record of successful investment projects and ventures we are able to offer partners a selection of investment opportunities to suit their individual needs. .............. ..................... ...................... .................................. .................................
Huu si mradi wa serikali . Cheki na link IPI Ltd | Bahari Beach | Property Investments Specialists uone kama inawezekana au haiwezekani.
Ni ya wasomali, wameajiriwa wasomali kibao, reception, getini kote wasomali.
Kwani waSomali sio binadam?...Hii chuki yote imetoka wapi wandugu?...:hat:
Thanks mkuu...suala la kutokuwa mradi wa serikali nalifahamu kitambo...pia hiyo website nilishaipitia!!
Kma nina access na 400,000 USD natoa cha kwangu kikali kuliko hicho. Halafu naondokana katika mbanano hapo.
Kwani waSomali sio binadam?...Hii chuki yote imetoka wapi wandugu?...:hat: