Tanzania: Bahari Beach Satellite City

BelindaJacob

Platinum Member
Nov 24, 2008
6,474
4,022
Wakuu kuna mtu mwenye info za kina kuhusu hii project? Na je imeshaanza kufanywa maeneo hayo ya Bahari Beach? kuna eneo kubwa kiasi cha kufanikisha huo ujenzi? Angalia hiyo video chini. Project hiyo ipo chini ya IPI Ltd (www.ipiltd.com)

Bahari Beach Satellite City - This is Living!!!

[video=youtube_share;XQCZgnkkho8]http://youtu.be/XQCZgnkkho8[/video]
 
bomoa bomoa inakuja.....kuna sehemu ambayo ina eneo pale bahari beach kubwa la project kubwa kama hii?
 
bahari-beach-project.jpg
 
Kama walivyosema wenyewe kuwa This is Living - Bahari Beach Satellite City!..Nina hamu niione ikiwa imekamilika

Hii ni project ya watu binafsi si sawa na daraja. Nyumba zilishaanzwa kujengwa toka mwaka juzi....:A S-coffee:
 
+255 717 190 856
+255 755 019 284
rosemarymwakitwange@gmail.com

huyo ndio mtu wa sales au?

Lakini ile idea yao ya kuweka ferry na maboti ya kwenda mjini ilikuwa ni nzuri sana lakini wakazi wa kule na wabongo wenye pesa hawana culture ya kupata public transport sasa kupanda hizi boti kuwahi mjini sijui itakuwaje

Unless serikasli ianze utaratibu wa kuhamisha huduma nyingi nje ya mji na kuwa wa outsource customer services kama call centres za ardhi na pia kuwa serious na issue ya ONLINE GOVERNMENT kupunuza misongamano mjini
 

IPI Ltd is Integrated Properties Limited


Project Overview | IPI Ltd

IPITL has acquired land measuring 200 acres in the Bahari Beach Area of Ununio in Dar es Salaam for development of the self sustained, independent state of the art satellite city comprising of the following:-


  • Executive villas, townhouses and apartments
  • Five Star Hotel
  • Hospital
  • Recreational centre school (nursery & primary school)
  • Nursery and Primary School
  • Service station
  • Shopping Mall not less than 40,000 sqm comprising of banking facilities, night clubs, restaurants, supermarkets, cinema halls and many other facilities required in a big mall.
  • Ferry service that will link the rich, sandy Bahari Beach to the main Dar es salaam port on the one hand, and the exotic Zanzibar islands on the others.

Bahari Beach Town is designed to become a self contained satellite city providing family – friendly environment for potential resident populations of 10,000 people, while its commercial units could serve additional 1,000,000 people within easy connecting area.
Location
The Project is located approximately 30km from the city centre and covering of about 200 acres within the beautiful Bahari Beach Area. The area is well connected to the electricity and water supply from the mains. It is easily accessible from the city centre and other places of interest via the New Bagamoyo road.


Board of Directors

Chairman of the Board: Mr. Omar A. Ali
Managing Director: Mr. Suleiman A. Dualeh

Management Team

Finance Director: Mr. Abduhakim Hersi
Syndicated Investment Director: Mr. Mohamed H. Suleiman



SomaliNet Forums • View topic - Somali run property project in Tanzania

Somali run property project in Tanzania

by Executive » Tue Sep 27, 2011 10:13 am
Very impressive, if we had peace and stability in our country and I think we would be able to rebuild in a short time. Its a $627.6 million housing project in Dar Es Salaam.

IPI Ltd | Bahari Beach | Property Investments Specialists

The Chairman and Managing Director
biz+index+pix.jpg

Board of Directors

Chairman of the Board: Mr. Omar A. Ali
Managing Director: Mr. Suleiman A. Dualeh
Finance Director: Mr. Abduhakim Hersi
Syndicated Investment Director: Mr. Mohamed H. Suleiman


bahari-beach-project.jpg


IPITL has acquired land measuring 200 acres in the Bahari Beach Area of Ununio in Dar es Salaam for development of the self sustained, independent state of the art satellite city comprising of the following:-

* Executive villas, townhouses and apartments
* Five Star Hotel
* Hospital
* Recreational centre school (nursery & primary school)
* Nursery and Primary School
* Service station

Shopping Mall
Not less than 40,000 sqm comprising of banking facilities, night clubs, restaurants, supermarkets, cinema halls and many other facilities required in a big mall.

Ferry service
that will link the rich, sandy Bahari Beach to the main Dar es salaam port on the one hand, and the exotic Zanzibar islands on the others.

Bahari Beach Town is designed to become a self contained satellite city providing family – friendly environment for potential resident populations of 10,000 people, while its commercial units could serve additional 1,000,000 people within easy connecting area.
Location
The Project is located approximately 30km from the city centre and covering of about 200 acres within the beautiful Bahari Beach Area. The area is well connected to the electricity and water supply from the mains. It is easily accessible from the city centre and other places of interest via the New Bagamoyo road.


swimming20pool20and20garden.jpg

several20villas20at20finishing20sta.jpg

master20bedroom.jpg

lounge.jpg

garden20-20front20view202.jpg

front20entrace20-20a20viewer20arriv.jpg

front20view20-20other20villas.jpg
 
Sasa nimeamini nchi imeshauzwa! Hawa jamaa wanajitwalia maeneo yetu kama hayana wenyewe na viongozi wetu wanayauza kama vile dunia inaisha baada ya sisi, watu hawa watalimiliki maeneo haya vizazi na vizazi na wanapewa kishkaji kwa kuamini kuwa nchi nikubwa mno au baada ya kupenyeza rupia, je wangefanya haya kina Nyerere na Kina Kawawa tungekuwa na nchi kweli? Tutakuwa wapi miaka 50 ijayo i mean nchi itakuwa imebakia kipande gani?

These people leo wanaingia kama wawekezaji wakiwa mikono nyuma lakini baada ya mda watajipenyeza kwenye siasa zetu hizi ambazo wenye hela ndio wananafasi na tumeona mifano kwakina Rostam, Dewj, Abood Kina Rage na wengine wa aina hiyo! Hakika nawaambieni watanzania wenzangu hawa jama watakuja kutuvuruga mpaka na hao wanaotoa maeneo yetu watakuja kuvurugwa vilevile na kama sio kizazi hiki basi ni kizazi kijacho!

Anyway Mwenyezi Mungu atusaidie
 
Back
Top Bottom