Tanzania: Bahari Beach Satellite City

Hivi Somalia kuna biashara gani mpaka izalishe matajiri wa kuja kuwekeza Tanzania? What i know ni kwamba hawa jamaa wanapasuana usiku na mchana na wanashida vibaya mno mpaka wengine wanaamua kupakimbia kwa kupakiwa kwenye makontena kama unga wa ngano. Inamaana hizi opportunities wafanyabiashara wa hapa nchini kwetu kama kina Mzee Mengi hawazioni au ndio kuogopa alichowahi kukisema wakati wa kuuzwa kwa Kilimanjaro Hotel, (MCHEZO MCHAFU). Uwekezaji huu hauwezi kufanywa na mashirika yetu ya hifadhi ya jamii kama NSSF, PPF, LAPF, PSPF? What is the aim of CCM, ni kuuza nchi vipande vipande then iweje sasa....wahame nchi au....

SOMALIA kuna GOLD, na p nia wanasema Makao Makuu yalioko Al-Shaabab kuna GAS na OIL nyingi

na MIRUNGI wana-export inawaingizia pesa si Mchezo...
 
Ni jambo jema na la kujivunia, na tunahitaji wawekezaji wengi design hiyo, well done.
 
Hela chafu za maharamia nazo unajisifia kuwa anawekeza? Au ndio viongozi wenu wa baadae Kama wakina rostam, manji, bashee, kinana na mafisadi wengine wa kihindi na kisomali ambao ndio wachangiaji wa kubwa wa Chama chenu cha mabwepande mkiambiwa ni Chama cha matajiri mnakataa
We una ushahidi wowote kuwa ni hela za uharamia? Na hata kama,ulitaka wajenge kwa kutumia hela za michango ya kanisani/mskitini? Hata kama unajua huta kuja miliki hata kibanda hapo sio lazima upondee, kama nyie imewashinda kuijenga hii nchi basi waachiene wanao weza.
 
Dada majebere naona umetoka honey moon!!!! Unafurahi kuona nchi inauzwa kwa wasomali wakianza kuwanyanyasa mnaanza kulialia. Naona ccm ina andaa wachangiaji wake wa kampeni za 2015 kwa kuwauzia maeneo
 
ccm wanaanza kufikiria tumboni baaadaye ndio kichwa kinafuta hawa jamaa wanahatarisha hata usalaama wa nchi maana kuwa baharini chochote cha weza kufanyika kupitia hawa jamaa kuliko nchi kavu
 
Tanzania a land of possibles hata ukitaka nunua ikulu unaweza ni hela yako tu,I mean ukitaka jenga ndani ya ikulu na nyumba ikawa yako
Lets wait and see kwani project yenyewe ni cost gani?
Source za hela zao?
Nani kawauzia au JK?
 
Uwekezaji si ishu,ishu je hela zinazowekezwa ni safi?Angalizo wasije wakawa wanajenga himaya ya kuleta vurugu hapa kwetu au kuweka kichaka cha magaidi.
 
Nimemkumbuka marehemu Mbunge Regia Mtema aliposema JF ni shule kwangu. Sikujua kuwa Rage na Kinana ni Wasomali. Kumbe wanaweza kuwa Maajenti wa kuuza ardhi ya Bahari beach kwa bei poa?? Au ni miradi ya mafisadi wa Tz lakin Wasomali wamekuja kusimamia tu kama ilivyokuwa EPA na Rich Monduli??
 
Hizi siyo zile hela za maharamia wa Kisomali kweli? Wamechoka kuziwekeza Kenya?
Ni kweli ni hela za maharamia wa kisomali.

Lakini baada ya kutaitiwa kimataifa sijui kama mtoa mada amefika sehemu hiyo.
Leo ni magofu matupu, pesa imekauka!
 
Pirates money

Mbongo ni Mbongo tu, mnaletewa maendeleo unapiga majungu. Au ulitaka Tanzania yote iwe kama Mazenze. Kama ni pitares money na system ya ki bank inayosimamiwa na USA hapa nchini wangeshajulikana. Sometime tumia akili kidogo acha kutumia masaburi
 
Mi nafikiri its ok, wawekezaji waje kutoka nchi mbalimbali provided wanafuata sheria zetu za nchi.
hata ivyo hili eneo walianza developments kama mika mitatu sasa iliyopita, lakini for more than a year now pamekuwa kimya sana, ni kama pametelekezwa.
nafikiria kama hiyo project ikifanikiwa, itasaidia sana wakazi wa hili eneo, na thamani ya properties katika eneo hilo itapanda sana.
 
Kama viongozi wetu muda wote wanawaza jinsi ya kubadili damu, unategemea nini??? Pia na sisi waTZ tumezidi uzuzu na uzezeta, waacheni wasomali wajinyakulie hii nchi isiyokuwa na mwenyewe, tutakuja kustuka kutakapokucha....

What do you think ordinary people can do! Government should be blamed for coz we gave them the power to lead us, but they went against the agreement.. But still we can make changes by giving the power to those who fall under "meritocracy" instead of "timocracy" which we have now.
 
Hela chafu za maharamia nazo unajisifia kuwa anawekeza? Au ndio viongozi wenu wa baadae Kama wakina rostam, manji, bashee, kinana na mafisadi wengine wa kihindi na kisomali ambao ndio wachangiaji wa kubwa wa Chama chenu cha mabwepande mkiambiwa ni Chama cha matajiri mnakataa

Wagalatia kweli mmerogwa, yani kwa sababu mmeona majina ni Waislamu mmeanza kuleta chuki kuwa fedha za Uharamia,fedha chafu. Sasa nyie kinachowauma kwa sababu sio wazungu wanaojenga huu mradi. Kila nchi ina matajiri na wajasiriamali na hawa wanatafuta sehemu salama ya kuinvest. miradi hii Kenya ishakua mingi sasa wamekuja TZ. Acheni chuki zenu kwa sababu tu nyie wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga hata kuchukia investment kubwa kama hii kisa wawekezaji ni waislam?
 
Mkuu ndio maana waislamu wana bank zao ambazo hazitozi Riba kwa maana nyingine waislamu hawataki mambo ya Wizi lakini nashangaa nyie mnashabikia hao watu wanaoteka meli wanalipwa hela halafu mnawaita wawekezaji Nafikiri wewe na hao waekezaji ni Waislamu jina. Halafu mkuu uache hiyo tabia ya kukashifu dini za watu na hamna mtu aliyezungumizia mambo ya dini hapa waislamu naishi nao pia nawaheshimu na wao wananiheshimu
 
nchi ni dhahabu, wanyama, samaki n.k. je hawa mlio wauzia wanapeleka wapi hivi vitu? Mia

Soma kicha cha habari, zile zizojengwa hapo satellite city ni dhahabu, wanyama, samaki au sio?

Samaki kaa ule wewe wote, wanyama hao hao wanotlewa nje leo Tanzania imesaidiwa vifaru na uingereza, hapa mmewamaliza hamjui kuwatunza, wacha wa duniani wawachukuwe. Leo Tanzania inasaidiwa vifau na Uingereza na Afrika kusini? walifikaje huko?

Dhahabu kachimbe wewe na kucha kama utaweza? utabaki kama kuku anaechokora jalalani kutafuta kula. Huna teknoloji, huna ujanja. Ukitaka dhahabu zitachukuliwa, hukutaka dhahabu zitachukuliwa, na kingine chochote kila chenye manufaa. Hilo kumbuka, leo na kesho na kesho kutwa. Huna ujanja wa kubana na ukibana sana wanafanya kwa nguvu, Hujayaona yaliomkuta Gaddafi? unafikiri kilichomuondoa ni nini yule? mafuta ya Libya alijidai kubana, hakuna zaidi.

Sasa wewe bana hapa urudishwe kule ulikotoka kwenye kukaa foleni za chakula. Si alibana, au hujui? mwenyewe kaachia. Unafanya mchezo wewe?
 
Hela chafu za maharamia nazo unajisifia kuwa anawekeza? Au ndio viongozi wenu wa baadae Kama wakina rostam, manji, bashee, kinana na mafisadi wengine wa kihindi na kisomali ambao ndio wachangiaji wa kubwa wa Chama chenu cha mabwepande mkiambiwa ni Chama cha matajiri mnakataa

Zipi safi, za Mbowe za kuuza ulevi na binaadam pale bilicanas?

Hakuna mgeni anaewekeza Tanzania bila kufata sheria zilizowekwa na nchi.

Kaama unachuki binafsi na wageni, huo ni ubaguzi wako binafsi na usiuingize hapa.

Onesha hizo pesa chafu ziko wapi? kuna mahala pa kuripoti pesa chafu, hupajui? kama hupajui unaweza weka ushahidi humu JF lakini sio kuja na kuanza kutaja mataifa ya watu. Tanzania haikuundwa na kabila moja.

Kuna watu humu wa Mataifa tofauti kabla ya babu yako kuja kwenye hii ardhi, chunga sana. Soma historia, hao kina Rostam unaowataja, hao hao ndio washirazi unaowasikia waliojaa katka pwani ya afrika mashariki, unaweza kusema walikuja lini hapa? Vasco Da Gama aliwakuta hapa, sasa sijui utasema nini?

Hao Wasimali kuna waliopo Tanganyika hii kabla hata ya ujio wa babake Nyerere hapa Tanganyika. Unajuwa kuwa yule hana asili ya Tanganyika? au hujui, kama unajuwa sasa kaa kimya au kwanza tumuongelee yeye, vipi mgeni, awe baba'enu?
Hivi wewe ni mtu wa wapi usiyeyajuwa hayo?
 
Back
Top Bottom