TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

Status
Not open for further replies.
Basi eti na wewe umeongea kitu!
Una ushahidi gani maneno yako haya!
Na wapi uliskia waislami wanataka kuyafanya hayo unayodai!?
Nyie viumbe wengine ni matatizo makubwa!
Kamuulize Shekhe Mohamed Said...
 
Nilipo RED.

Huo ni uongo na uzandiki mkubwa kwani katika mnakasha ule hakuna mshindi wala aliyeshindwa. Bali kila mtu aliweka FACTS zake na kutuachia wasomaji wenyewe waamue.

Utakuwa mzandiki sana kama utamtamkia au kumlisha mtu maneno.

Shame on You.

Wewe acha uwongo mzee side alichambuliwa ngano zake akaishia kiwaambia kina nguruvi3 kuwa nao wakaandike vitabu
 
Basi eti na wewe umeongea kitu!
Una ushahidi gani maneno yako haya!
Na wapi uliskia waislami wanataka kuyafanya hayo unayodai!?
Nyie viumbe wengine ni matatizo makubwa!

unayesubiri kusikia ni wewe.mimi wala cna haja ya kusikia.maandiko ya wamiliki wa ndoto yanajulikana.na hii ni mfano wake
 
Kama hoja ni udini kulikuwa na haja gani ya kutumia vichwa vya habari tofauti? ustaadh Mohamed Saidi inadhihirisha ni kiasi gani ulivyo mufilisi wa hekima umeleta vichwa vya habari vyenye dhana ya kujadili mashujaa kumbe nyuma ya pazia umegeubikwa na udini; kuna nchi za kiislamu leo hii hakuna amani kutokana na mafundisho kama yako yenye kupandikiza chuki za kidini wewe ni wa kupuuzwa sioni hata hekima moja uliyo nayo kila siku ni kulalama tu; watanzania tunaijua vizuri historia yetu mashujaa wanajulikana ABUSHIRI wa Pangani tunamuenzi kwenye historia yetu sio kwasababu alikuwa ni muislamu bali kwa sababu ya ushujaa wake wa kuongoza mapambano dhidi ya wakoloni; hii historia yako ya kulazimisha ya kimanyema haitafanikiwa hata siku moja na kama una chuki zako binafsi dhidi ya Nyerere basi ni wazi utakwenda mbele ya haki watanzania hatutaacha kumuenzi hata siku moja!
 
Nilipo RED.

Huo ni uongo na uzandiki mkubwa kwani katika mnakasha ule hakuna mshindi wala aliyeshindwa. Bali kila mtu aliweka FACTS zake na kutuachia wasomaji wenyewe waamue.

Utakuwa mzandiki sana kama utamtamkia au kumlisha mtu maneno.

Shame on You.
Barubaru
JF ni jukwaa la kuelemishana hatafutwi mshindi hapa; Mohamed Saidi anachoandika ni uzushi tu na ndio sababu anashindwa kutetea anachokiandika hata kujibu maswali unayomuuliza kutokana na kile alichokiandika yeye mwenyewe anashindwa; huyu bwana kumwita mwanahistori ni dhihaka kubwa sana sijawahi kukutana na mwanahistori wa aina yake; historia haiandikwi kwa hisia na dhana za mtu ni matukio halisi yaliyotokea hilo nalo mwanataaluma wewe unataka tukufundishe?
 
Last edited by a moderator:
Masterpieces? From heresies and fabrications? Give me a break! So you support his distorted point of view that Nyerere whom we consider as a hero in Tanzania is actually not a hero simply because he was not a Muslim? That Tanganyika's independence was primarily a result of Muslim's struggle, not Tanganyikans' struggle? You believe in systematic exclusion from the heroes' list anybody who is not muslim? This is the most dangerously biased, discriminatory and hateful thinking I've ever had the bad luck to witness!

Wouldn't you just be showing us the opposite? To the best of you and yours knowledge.
 
upuuzi mtupu! Link inaongelea Biblia kwa watu wanaojaribu kuisoma toka kulia kwenda kushoto, kufikiria anticlockwise! Oovyo

Naona hujasoma. Wewe ni katika wale waloipotoka na hata uwafanye nini hawarudi. Ulipozaliwa ulikuwa na jina gani?

Na laiti ungekuwa unaweza kuisoma Biblia kutoka "kulia kwenda kushoto" ungejua "Allah? ni nani na "mungu" na miungu ni akina nani.
 
Kama hoja ni udini kulikuwa na haja gani ya kutumia vichwa vya habari tofauti? ustaadh Mohamed Saidi inadhihirisha ni kiasi gani ulivyo mufilisi wa hekima umeleta vichwa vya habari vyenye dhana ya kujadili mashujaa kumbe nyuma ya pazia umegeubikwa na udini; kuna nchi za kiislamu leo hii hakuna amani kutokana na mafundisho kama yako yenye kupandikiza chuki za kidini wewe ni wa kupuuzwa sioni hata hekima moja uliyo nayo kila siku ni kulalama tu; watanzania tunaijua vizuri historia yetu mashujaa wanajulikana ABUSHIRI wa Pangani tunamuenzi kwenye historia yetu sio kwasababu alikuwa ni muislamu bali kwa sababu ya ushujaa wake wa kuongoza mapambano dhidi ya wakoloni; hii historia yako ya kulazimisha ya kimanyema haitafanikiwa hata siku moja na kama una chuki zako binafsi dhidi ya Nyerere basi ni wazi utakwenda mbele ya haki watanzania hatutaacha kumuenzi hata siku moja!
Asante chama, hii hasa ndiyo sababu wengine tumeshindwa kabisa kujadili hii mada, imevamiwa na malimbukeni kwa malengo wanayoyajua wao. Hakuna jipya lolote linalojadiliwa humu lenye maana, ni zile zile porojo na hadithi za mitaa ya Gerezani, Kariakoo na Kipata...halafu wapo eti wanaoziamini! Mada muhimu zinapoletwa hapa za kujadili kuhusu mustakabali wa taifa (kubwa kwa sasa ikiwa ni katiba) humuoni Mohamed Said, Barubaru, FaizaFoxy wala gombesugu lakini anzisha ngano za Wamanyema kupigania uhuru wa Watanganyika, watavamia kama tai aliyenusa mzoga. Endeleeni na upuuzi wenu...sisi tunajadili katiba, hela zilizofichwa Uswisi na wezi na muundo wa Muungano!
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi,
Nimeweka hapa (attach) mada niliyowasilisha Nairobi kwenye ''Seminar on The Fiftieth Anniversary of the African Independences Marginalized, Forgotten, and Revived Political Actors'' iliyoandaliwa na IFRA French Institute for Research in Africa na BIEA British Institute in East Africa kuanzia tarehe 23rd and 24th September 2013.

Salaam Maalim Said, mimi naandika historia ya wafanyabiashara na matajiri wa Tanganyika/Zanzibar/Tanzania na nahitaji sana makabrasha ya Mzee Aziz Ali na ya Mzee Kleist Sykes!
 
Mwana historia kaandika paper yake. Nyinyi badala ya kuja na amma kupinga kwa hoja amma kukubali kwa hoja. Mnahaha na kuanza kila aina ya matusi. Inaonesha wazi ni watu wa aina ipi.

Mngeanza na hao ma hero wenu. Sidhani kama mtaweza bila ya kuwataja hao hao aliowataja Mohamed Said.
Mohamed Said ahsantum. Uyaandikayo ni mambo ambayo wenye macho yasiyoona hawawezi kuyaona, wenye masikio yasiyosikia hawawezi kuyasikia na wenye maradhi kwenye nyoyo zao basi maradhi yatawazidi.
Hata vichaa wanaweza kuja na pepa zao.... Maybe common sense is soo stupid to be common

Aweza kuwa na hoja ila upumbavu wake wa udini na chuki ndio unamfanya awe kama jibwa koko linalobwekea mchicha

alikua wapi enzi za mwalimu ?
 
Wanaukumbi,
Nimeweka hapa (attach) mada niliyowasilisha Nairobi kwenye ''Seminar on The Fiftieth Anniversary of the African Independences Marginalized, Forgotten, and Revived Political Actors'' iliyoandaliwa na IFRA French Institute for Research in Africa na BIEA British Institute in East Africa kuanzia tarehe 23rd and 24th September 2013.
dume la uhakika haliisachi maiti... Kama ni kidume, alikua wapi enzi za mwalimu?
 
Kama hoja ni udini kulikuwa na haja gani ya kutumia vichwa vya habari tofauti? ustaadh Mohamed Saidi inadhihirisha ni kiasi gani ulivyo mufilisi wa hekima umeleta vichwa vya habari vyenye dhana ya kujadili mashujaa kumbe nyuma ya pazia umegeubikwa na udini; kuna nchi za kiislamu leo hii hakuna amani kutokana na mafundisho kama yako yenye kupandikiza chuki za kidini wewe ni wa kupuuzwa sioni hata hekima moja uliyo nayo kila siku ni kulalama tu; watanzania tunaijua vizuri historia yetu mashujaa wanajulikana ABUSHIRI wa Pangani tunamuenzi kwenye historia yetu sio kwasababu alikuwa ni muislamu bali kwa sababu ya ushujaa wake wa kuongoza mapambano dhidi ya wakoloni; hii historia yako ya kulazimisha ya kimanyema haitafanikiwa hata siku moja na kama una chuki zako binafsi dhidi ya Nyerere basi ni wazi utakwenda mbele ya haki watanzania hatutaacha kumuenzi hata siku moja!

Ritz aionee hii ikiwa kwny file.usiopoijibu ntakupuuza sna
 
Again. Heroes are overrated.

Ulimwengu wa kuhusudu watu umepitwa. Watu waliohusudiwa walipowekwa kwenye kurunzi wameonekana na mapungufu mengi sana.

This and the coming world is that of ideas.

Let's focus on ideas. Not get bogged down into wishful hagiographies and sanitized history.

That belongs to religion, not the governance of future inclined civilizations.

The Americans are dismantling their heroes. Rev. Martin Luther King .Jr, George Washington, Jefferson, Lincoln, Franklin, FDR, Kennedy etc. It turns out they were very flawed.

The entire idea is a fanciful asymptotic Selassian illusion, an ideal to be pursued, but never attained.

So, we need to dismantle and humanize the so called "lone hero" and remain with none. Not add more.
The idea of having the so called heroes I just find it to be archaic and mere HOGWASH!
 
Basi eti na wewe umeongea kitu!
Una ushahidi gani maneno yako haya!
Na wapi uliskia waislami wanataka kuyafanya hayo unayodai!?
Nyie viumbe wengine ni matatizo makubwa!

Kahtaan

Unapinga na kupigana vita ambayo ushindi wake utaishia kuupata usingizini yaani ndotoni.

huyu mzee na nyinyi wafia dini mtaishia na vita zenu za mitandaoni na propaganda wenzenu mnaowaita makafil

wanasonga mbele. ukiutaka ushahidi wa vita yenu soma uchochezi wa babu yenu mohamed said hapo chini na urithi anaowachia.

Kamuulize Shekhe Mohamed Said...

Mtazamo wa mohamed Said na JIHAD ya mitandaoni inajithibitisha kwa post yake hii hapa chini nimeipata kwenye moja ya

michango yake ya chuki, uchochezi na vita dhidi ya ukristu hapa Tanzania. Na anathibitisha hasira zake juu ya JK Nyerere

na kutoa muendelezo kwenye hoja yake hii ya Tanzania-
A Nation without Heroes.

quote_icon.png
By Mohamed Said

Umeingiza mambo mengi sana.
Kuna Zanzibar, elimu ya Waislam, matokeo mabaya ya shule za Kiislam, kuchinja.

Itakuwa tabu kufanya mjadala uliokuwa hauna mwelekeo ulionyooka.

Lakini kwa mukhtasari ukitaka historia ya Zanzibar na maendeleo yake itabidi tuanza kwa kuvamiwa
kwa Zanzibar na jeshi mamluki la Wamakonde kutoka Kipumbwi wakifadhiliwa na utawala wa Nyerere.

Kuanzia hapa tutaingia katika tatizo la Muungano na kwa nini leo Wazanzibari wanadai nchi yao.

Kuhusu elimu ya Waislam itatubidi tuje katika njama za Nyerere kuhujumu chuo kikuu cha Kiislam
kilichokuwa kijengwe Dar es Salaam mwaka 1968 na jinsi alivyotumia uongo na ghilba kuvunja EAMWS
na kuunda taasisi kibaraka BAKWATA.

Vipi shule za Waislam hazifanyi vyema inabidi tuje katika hujma ya NECTA kwa wanafunzi wa Kiislam na
tuupitie waraka wa marehemu Prof. Malima kuhusu yale aliyoyakuta Wizara ya Elimu mwaka 1987.

Wizara ya Elimu na NECTA vimegeuzwa vigango vya kanisa.

Kubwa zaidi ni kuwa Waislam kwa muda mrefu hatukuruhusiwa kujioganaizi nje ya BAKWATA kibaraka
wa serikali.

Makanisa mnaendelea kwa kupendelewa na serikali iliyojaza watendaji Wakristo sisi tungepewa hayo
mabilioni ya MoU kati ya Makanisa na Serikali tusingekuwa kama hivi.

Yapo mengi sasa chagua tuanze na lipi katika hayo hapu juu niliyokugusia.

Wajerumani waliwaweka Wayahudi katika ghetto kisha wakawa wanawalaumu kwa uchafu.
Kwenye ghetto hakuna maji wala misala sasa watu wafanyeje?

Mnatusimanga kwa hospitali mnazoendesha kwa hela ya kodi ya serikali kodi inayolipwa na raia
wote.

Tunabanwa na mfumokristo kisha mnatulaumu hatuna maendeleo
 
Hayo ni maneno yako Uislam siyo dini yakulazimishana hakuna mahala Uislam umemlazimisha mtu kuwa Muislam.

dini inalazimisha kuua wasioamini (non-believers)! Pia inataka wanaoacha uislam (apostates) wauawe! Satanic
 
Naona hujasoma. Wewe ni katika wale walipotoka na hata uwafanye nini hawarudi. Ulipozaliwa ulikuwa na jina gani?

Na laiti ungekuwa unaweza kuisoma Biblia kutoka "kulia kwenda kushoto" ungejua "Allah? ni nani na "mungu" na miungu ni akina nani.

Allah is a satanic arabic god! Allah anaahidi watu wakijiua wanakuta warembo mabikra ahera. Satan in true colours. Fullstop
 
dini inalazimisha kuua wasioamini (non-believers)! Pia inataka wanaoacha uislam (apostates) wauawe! Satanic
Deutoronomy 13: 8-10
8 Thou shalt not consent unto him, nor hearken unto him; neither shall thine eye pity him, neither shalt thou spare, neither shalt thou conceal him:

9 But thou shalt surely kill him; thine hand shall be first upon him to put him to death, and afterwards the hand of all the people.

10 And thou shalt stone him with stones, that he die; because he hath sought to thrust thee away from the LORD thy God..."
 
Kahtaan

Unapinga na kupigana vita ambayo ushindi wake utaishia kuupata usingizini yaani ndotoni.

huyu mzee na nyinyi wafia dini mtaishia na vita zenu za mitandaoni na propaganda wenzenu mnaowaita makafil

wanasonga mbele. ukiutaka ushahidi wa vita yenu soma uchochezi wa babu yenu mohamed said hapo chini na urithi anaowachia.

Mtazamo wa mohamed Said na JIHAD ya mitandaoni inajithibitisha kwa post yake hii hapa chini nimeipata kwenye moja ya

michango yake ya chuki, uchochezi na vita dhidi ya ukristu hapa Tanzania. Na anathibitisha hasira zake juu ya JK Nyerere

na kutoa muendelezo kwenye hoja yake hii ya Tanzania-
A Nation without Heroes.

Matatizo yenu nyie mnataka kila mtu awaambie kile mnachotaka kusikia!!
Mkiambiwa ukweli basi mnaupa majina meengi!
Mara muuite UCHOCHEZI! mara UONGO WA WAISLAMU! mara UGAIDI WA KWENYE MITANDAO!
Basi alakulahal nyie ni kubandika majina maovu tu!
Huu ulimwengu wa leo ni kuambiana ukweli tu! Mkikasirika basi mnakuwa mmekamilisha ile hadith ya mtume s.a.w inayosema" semeni ukweli japokuwa ukweli unauma"
Amesema kweli kipenzi chetu (s.a.w).
 
Mmeshabadili thread hii kuwa ya kidini...? Dhana ya nnakasha huu TANZANIA: A Nation Without Heroes" iendelee kama ilivyo ilivyokusudiwa na mleta mada.

Vinginevyo uzi huu uhamishiwe jukwaa la dini.

CC: Mohamed Said Ritz sadeeq et al.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom