Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,044
- 5,115
Enyi wagalatia, ni nani aliyewaroga?!!! Tehe tehe tehe!
Soma kijana upate ilm halafu ujue unachokisema, na sio kupayuka payuka tu bila kujua maana tehe tehe tehe!
ulichoandika ni zao la tuelimu twenu twa kipuuzi, eti kukosoa Biblia! Zao la uislam kuweka vitengo vya propaganda misikitini na kuwa supported na 'wapuuzi' kama Yusuph Makamba. Makamba kila siku alikuwa anatoa vifungu vya Biblia na Qur'an! Wagalatia ni wasioamini katika kifo na ufufuko wa YESU! Waislam ni kama wagalatia tu. Unachukua kamstari kamoja unajifanya unajua Biblia. Shame on you kizazi cha beki tatu! Shame on you