Al Habib, gombesugu,
Asaalam Aleikum, habari za masiku ndugu yangu.
Nakusoma na miwani ya 3D huku nakula zangu faluda.
Ritz,
Salaam saana Shariff,Wallahi nimefurahika pasi kiasi kukusikia.
Niwie radhi ni kitambo nilikua sijatia maguu humu Jf...ni kama bakhti nangia leo ndo nakutana na kitahanani cha matusi na kashfa ziso mipaka kutoka kwa hawa jamaa zetu, kama dasturi yao!
Tuko pamoja.
Ahsanta.