Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,234
Haya maswali ungemuuliza baba yako wa taifa kwanini alitoka butiama akaja Dar kavaa kaptula wazee wa kariakoo hao hao munaowaita wanywa kahawa wakamshonea suruali kiuno 32 na paja 9 angebaki huko huko butiama,mods wako active sana, kama kuna matusi, why dont you report abuse? Sasa wewe tuambie akina nani wa Shinyanga, Geita, Singida waliopigania uhuru? Kwani uhuru umepiganiwa Dar tu? Udini unaondoa busara zako zote, kisa kuwaza wanawake 72 na sensual & erotic paradise! Hakuna uwanja wa fisi huko
halafu hilo swala dini fungua uzi mwingine tukufundishe adabu hapa sio mahala pake uwe mstaarabu.