kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,329
- 15,984
uwongo dhambi ila bashite anachuraaaa
Shetani hasifiwi.Hii page sijui nani alikuwa mmiliki wake.
Naona upinzani dhidi ya Rais Magufuli na Na RC Makonda umewashindwa.
Sasa hivi ni chalii... Ama kweli serikali mkono mrefu.
Hawajapost chochote tokea May 7 na sio kawaida yao.
Wapumzike kwa Amani. Amen
Wafe kabisa!Hii page sijui nani alikuwa mmiliki wake.
Naona upinzani dhidi ya Rais Magufuli na Na RC Makonda umewashindwa.
Sasa hivi ni chalii... Ama kweli serikali mkono mrefu.
Hawajapost chochote tokea May 7 na sio kawaida yao.
Wapumzike kwa Amani. Amen
sawa mkuuKukosolewa ruksa ila matusi ndio hayavumiliki huwezi kusema makonda huwa ana mpa nini Mkulu Raisi aheshimiwe.
Pesa ya bundle haijatolewa na DjWale wapo kimaslahi ukiona wapo kimya jua 'mlungula' haujatolewa.
AiseeHii page sijui nani alikuwa mmiliki wake.
Naona upinzani dhidi ya Rais Magufuli na Na RC Makonda umewashindwa.
Sasa hivi ni chalii... Ama kweli serikali mkono mrefu.
Hawajapost chochote tokea May 7 na sio kawaida yao.
Wapumzike kwa Amani. Amen
Days are numbered ,, bado kale kadada kao ka US kalikojaa matusi.,utazan alivyozaliwa aliogeshwa kwenye Usaha Wa donda ndugu.Hii page sijui nani alikuwa mmiliki wake.
Naona upinzani dhidi ya Rais Magufuli na Na RC Makonda umewashindwa.
Sasa hivi ni chalii... Ama kweli serikali mkono mrefu.
Hawajapost chochote tokea May 7 na sio kawaida yao.
Wapumzike kwa Amani. Amen
Uzi umeunganishwaMbona hizi post zinashika kasi sana? I smell somthing fishy.
Mbona hizi post zinashika kasi sana? I smell somthing fishy.
Mkuu umeniacha njia panda, fafanua mkuuMkuu hapo 'mlango wa sita' unafanya kazi;usikilize pia..