R.i.p tanzagizaHii page sijui nani alikuwa mmiliki wake.
Naona upinzani dhidi ya Rais Magufuli na Na RC Makonda umewashindwa.
Sasa hivi ni chalii... Ama kweli serikali mkono mrefu.
Hawajapost chochote tokea May 7 na sio kawaida yao.
Wapumzike kwa Amani. Amen
Akili ndogo zinazidi kujidhihirisha! Nani alokuambia kufa au kupotezwa kwa mwanaharakati ndo mwisho wa harakati? Rejea shuleni afu ndo uje na upuudhi wako mpyaHii page sijui nani alikuwa mmiliki wake.
Naona upinzani dhidi ya Rais Magufuli na Na RC Makonda umewashindwa.
Sasa hivi ni chalii... Ama kweli serikali mkono mrefu.
Hawajapost chochote tokea May 7 na sio kawaida yao.
Wapumzike kwa Amani. Amen
Kapotea nae kama ndege ya Malaysia[emoji4]Hivi Bashite naye yuko wapi? Sijapata kumsikia tangu siku aliyoandamana na wale makanjanja wa Bongo movie.
Hili halitusaidii kama Taifa,walau lengo letu liwe kuwa kama Kenya, yale malengo ya mwaka 2025 huenda yakawa ndoto kwa Lumumba kwa sababu kila Regime mnaanza disko jipya.Hii page sijui nani alikuwa mmiliki wake.
Naona upinzani dhidi ya Rais Magufuli na Na RC Makonda umewashindwa.
Sasa hivi ni chalii... Ama kweli serikali mkono mrefu.
Hawajapost chochote tokea May 7 na sio kawaida yao.
Wapumzike kwa Amani. Amen
Tumekwisha ijua,ni ahadi.Hivi Bashite huwa anampa nini mkulu?
Zile post za Tangagiza ndo harakati?Akili ndogo zinazidi kujidhihirisha! Nani alokuambia kufa au kupotezwa kwa mwanaharakati ndo mwisho wa harakati? Rejea shuleni afu ndo uje na upuudhi wako mpya
na mange kimavi wao..sijui anafikiri yeye ni nani..mjinga tu.Hii page sijui nani alikuwa mmiliki wake.
Naona upinzani dhidi ya Rais Magufuli na Na RC Makonda umewashindwa.
Sasa hivi ni chalii... Ama kweli serikali mkono mrefu.
Hawajapost chochote tokea May 7 na sio kawaida yao.
Wapumzike kwa Amani. Amen
Toka lini nyumbu wakawa wanaharakatiAkili ndogo zinazidi kujidhihirisha! Nani alokuambia kufa au kupotezwa kwa mwanaharakati ndo mwisho wa harakati? Rejea shuleni afu ndo uje na upuudhi wako mpya
mbona tanzagiza alishaishiwa hoja siku nyingi ndio maana akaanza kutukana watu matusi. mange kimambi wake ndio ovyo kabisa matusi ndio kwake hoja.Inamaana mmewateka na kuwaua?
Inamaana mmeshindwa kushindana kwa hoja na kuanza kutumia nguvu?
Matumizi ya nguvu huwa hayasaidii kwani ndio mtachochea watokee tanzagiza wengi.
Shindaneni kwa hoja na sio nguvu.
Kama mmetumia nguvu kwangu mimi tanzagiza watakuwa wamekufa kishujaa kwani mmeshindwa kwa hoja na kutumia nguvu za dola
+255713...Hivi Bashite huwa anampa nini mkulu?