Topintz
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 170
- 663
Sasa hivi naona Tanzamwanga wanatanua Facebook..
Kama wana nia ya kuisafisha serikali bac wawe creative na reasonable kdgo, ukicompare posts za Tanzamwanga na Tanzagiza utadhani ni mwnafunzi mwenye degree anashindana hoja na mtu alieishia darasa la pili. Na Tanzamwanga ime rise baada ya Tanzagiza kupotezwa. Na wacwac wenye nchi washafanya yao kwa Tanzagiza.