ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 973
- 665
Nyumbu hoi kwa MisukuleToka lini nyumbu wakawa wanaharakati

walifikiri kubadilisha VPN ndiyo kusalimika, waombe sana Mungu kama bado wapo hai.....Wanarekebisha mitambo iwe ya kisasa zaid ya hapo may 7
Aliyekuwa anaiendesha inaonesha aliamua kuachana nayo ama amekuwa disable wa kuweza kuiongoza tena ama alishatutangulia mbele za haki.View attachment 601280
Ni kati ya kurasa zilizokuwa na wafuasi na wachangiaji wengi kwenye mtaandao wa kijamii wa facebook, ulionekana kuwakera wengi na kuwafurahisha wengi.Wabandika machapisho walijisifu kuwa wao hawawezekani na hawakamatiki, kuna waliokuwa wakiwaambia kuwa watumie lugha yenye staha , kuna waliokuwa wakiwajibu kwa matusi lakini kulikuwa na wale ambao walikuwa wakipita kimya kimya bila kufanya chochote.
Kuna walihisi kuwa kulikuwa na wakwasi nyuma yao baada ya kuona mabandiko mengi yakiwa ''sponsered'' lakini nani anajua kweli zaidi ya wamiliki?
Tanzagiza ikapotea kama masikhara , bandiko la mwisho lilikuwa ni kuhusu ajali iliyowapata watoto wa Luck Vincent kule Arusha....kisha kimya kizito kikatanda.
Nimejiuliza muda mrefu maswali kadhaa bila majibu...
Je, walichokuwa wanakipigania na kukisimamia kimepatikana?
Waliokuwa wakiendesha wameamua tu kuiua kwa lazima ?
Imekufa yenyewe?
Kama wabandika mabandiko wameamua kuiua wangeifuta kabisa ama hata kufuta mabandiko yao....
''Miluzi mingi humpoteza Mbwa afugwaye si mbwa koko''
Ben Saa naneView attachment 601280

Kuna maiti zinaokotwa baharini hukoView attachment 601280

Mkipekua sana mnaweza wakuta coco.Hii page sijui nani alikuwa mmiliki wake.
Naona upinzani dhidi ya Rais Magufuli na Na RC Makonda umewashindwa.
Sasa hivi ni chalii... Ama kweli serikali mkono mrefu.
Hawajapost chochote tokea May 7 na sio kawaida yao.
Wapumzike kwa Amani. Amen
Hao walishapotezwa kitambo...huenda wameshaoza tayari...Hii page sijui nani alikuwa mmiliki wake.
Naona upinzani dhidi ya Rais Magufuli na Na RC Makonda umewashindwa.
Sasa hivi ni chalii... Ama kweli serikali mkono mrefu.
Hawajapost chochote tokea May 7 na sio kawaida yao.
Wapumzike kwa Amani. Amen
Hajaonekana hadi leo.... kama ndiye aliyekuwa akiendesha ukurasa huo mbona hata baada ya kutoweka mabandiko yaliendelea kupandishwa hadi MeiBen Saa nane