Tanzagiza! Kwisha habari yao

Tanzagiza! Kwisha habari yao

Hiyo Page inamilikiwa na Malisa Godlisten. Kwa sasa yupo kwenye Fungate baada ya kufunga ndoa juzi. Kabla ya hapo alikuwa busy na maandalizi ya Harusi. Thanks
Ahsante..mkumbushe Chato asitumbue askari wetu wenye vyeti feki ili hali Bashite yupo ofisini.
 
Inamaana mmewateka na kuwaua?
Inamaana mmeshindwa kushindana kwa hoja na kuanza kutumia nguvu?
Matumizi ya nguvu huwa hayasaidii kwani ndio mtachochea watokee tanzagiza wengi.
Shindaneni kwa hoja na sio nguvu.
Kama mmetumia nguvu kwangu mimi tanzagiza watakuwa wamekufa kishujaa kwani mmeshindwa kwa hoja na kutumia nguvu za dola
Hizi wew kwa akili yako waona tanzagiza inahoja ,,kweli wew kilazaa wa aina yakee
 
Tanzagiza Walikuwa na harakati za harusi na sasa wako honeymoon.

Subiri wakitoka honeymoon!

Jiulize ni nani au mwanaharakati gani amefanya harusi hivi karibuni.

Go figure!
Dah! Hopeless kabisa..
 
Naona umefurahi kweli kweli
Tanzagiza ni punje ya wali tu kati ya wali wenyewe uliojaa kwenye sufuria kubwa.
 
Akili ndogo zinazidi kujidhihirisha! Nani alokuambia kufa au kupotezwa kwa mwanaharakati ndo mwisho wa harakati? Rejea shuleni afu ndo uje na upuudhi wako mpya
wako wapi hawa jamaa?
 
Hiyo Page inamilikiwa na Malisa Godlisten. Kwa sasa yupo kwenye Fungate baada ya kufunga ndoa juzi. Kabla ya hapo alikuwa busy na maandalizi ya Harusi. Thanks
Aisee...
 
Tatixo ilikuwa ni propaganda hao Tanzagiza ni vijana wa Lumumba Kazi waliotumwa imekwisha tusubiri Kazi mpya ili tuone Kazi kubwa ya Tanzagiza ilikusudia kuia JF lakini Marengo hayakutimia kutokana na uimara JF..
 
Nipo huku najiandaa upya nikirudi haponi mtu wote mtayanywa nipo napikwa na BABU NA BIBI wakishirikiana ili kama watakuja kuniteka wasinione
 
Hii page sijui nani alikuwa mmiliki wake.
Naona upinzani dhidi ya Rais Magufuli na Na RC Makonda umewashindwa.

Sasa hivi ni chalii... Ama kweli serikali mkono mrefu.

Hawajapost chochote tokea May 7 na sio kawaida yao.

Wapumzike kwa Amani. Amen

Kweli ina mkono mrefu; Rejea Michango ya Kagera na Rambirambi za Arusha.
 
Hivi Bashite naye yuko wapi? Sijapata kumsikia tangu siku aliyoandamana na wale makanjanja wa Bongo movie.

Kweli yuko kimya sana, vyombo vya habari vilikuwa vinamsaidia sana kwenye showoff zake
 
Sasa ni mwezi tangu apost facebook na hajapost tena!
Je wameshakamatwa maana wamo kwenye ya wanaosakwa (ila tungesikia)

Je wameishiwa kifedha za kudhamini post zao (ila hata hivyo bado angekuwa anapost)

Sasa je ni nini kimewakuta?
 
Wakikujibu na mm watakuwa wamenijibu.. Au wamewafinya kimyakimya
 
Back
Top Bottom