GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,541
- 6,019
Kidato nicha hine nasohoma mtihani namarizia herimu yangu hefu mbiri na kuhumi na tihisa.HaaahaHahahAhaha du.....Kijana nenda shule
Kidato nicha hine nasohoma mtihani namarizia herimu yangu hefu mbiri na kuhumi na tihisa.HaaahaHahahAhaha du.....Kijana nenda shule
Hamuna,hamekwamatwa kohoni na tonge la hugali,hakikamwatwa nihitakuhambiya heti husihofu kuikana sisi hemu
Luga ya kihindia!!Duuh..hii ni kitu gani..umeandika kirundi au..
Hata kigogo ni suala LA muda tu,hafiki mbali!
Inawezekana. Maana hajapost tokea kipindi hii thread inaanzishwa.Huyu mtu ni kweli alifariki?
Inawezekana. Maana hajapost tokea kipindi hii thread inaanzishwa.
Alipopotea saa 8 na hii page ikapoteaInawezekana. Maana hajapost tokea kipindi hii thread inaanzishwa.
Kumbe. Ikute alikuwa yeye muendeshaji.
Kwan huyu kauliwaNae atauliwa?
Wote ni wachangamsha genge tu!Haya, Sasa hivi yupo Dada wa taifa, Mange Kimambi, Kaka wa taifa, Kigogo 2014, na wanafamilia wengine kibao, siku hizi Tena familia inazaa mapacha kila mwaka, ndo kwanza familia inakua, mtaweza mapambano?