CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,984
- 4,083
====
Rais Mbovu kuwahi kutokeaa ,mbovuu sana
Si lelemama ?Kuna mambo mengine tunaachia muda uamue. Kiongoza nchi si lelemama. Ni kazi nzito sana na yenye changamoto nyingi.
Sisi Tanzania,ni nchi ya ajabu sana na watu wake wa ajabu sana!
Huu unafiki hautatufikisha popote!
Utakufa mapema bila sababu yoyote, mbona unakuwa mkali kama mbweha kwenye jambo lisilokuwepo!Waajabu ni wewe usiseme Sisi, Samia ni mpango wa Mungu,Namungu yuko kazini pamoja nae,kama huoni yanayoendelea wewe ni kipofu,
Mziki unachezwa kutokana na mapigo yake, umesahau kuweka namba ya simu.
Si lelemama ?
Mbona viongozi wa Ulaya ni wanyenyekevu ?
Ushasikia Uingereza mpinzani anapewa kesi ya utakatishaji fedha, ugaidina na uhujumu uchumi ?
Utakufa mapema bila sababu yoyote, mbona unakuwa mkali kama mbweha kwenye jambo lisilokuwepo!
Kabisa niamin ,wee ndo huna akili kama unaona Huyu Mama anafaa.Hunaakili wewe,To be honest unataka kumfananisha Samia na nani?
Au mmezoea brutality ndio mjue kiongozi ni mzuri,