Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata Rais mnyenyekevu, Mpole, Msikivu, Mtulivu na mwenye hofu ya Mungu

Kabisa niamin ,wee ndo huna akili kama unaona Huyu Mama anafaa.

Na ombi langu kwa vyombo vya Dola 2025,wasimrudishe.


Vyombo vya dola ndio akina nani?
Muombeeni Mama mbona anakwenda vizuri sana tu, tatizo Lake nini?

Tatizo kubwa la Watanzania ni chuki hasa wana CCM wenzangu

#Mama road22030
 
SAMIA JEMBE HATA KAMA TUNAKIMBIA UKWELI HUYU MAMA JEMBE,

HII NCHI ILIKOFIKIA NI MUNGU TU NDIO ANAJUA TULIKOKUWA TUNAKWENDA

IMG-20210910-WA0028.jpg


IMG-20210910-WA0026.jpg


IMG-20210910-WA0029.jpg
 
The best president ever, Lazima achukue ile tuzo ya Mo Ibrahim, Nobel pia anaweza kuibeba
 
Back
Top Bottom