life255
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 280
- 776
- Thread starter
- #41
Hata sijaona Kitu till nowngoja nile kusapoti upambanaji wako
View attachment 3671767
Hata sijaona Kitu till nowngoja nile kusapoti upambanaji wako
View attachment 3671767
Ni kweli kaka kama Kuna mdau yupo vizuri ni kheri akupe hio pesa,Mkuu nimekupata. Hii 50K kwangu ni mwanzo wa kujitengenezea, si ombi la starehe. Kwa heshima na unyenyekevu, kama kuna nafasi ya kunisukuma hata kwa kiasi chochote, nitashukuru sana. Nikipata mwanzo huu, niko tayari kupambana kwa juhudi zangu. Mungu akubariki sana. 🤲🏽
Huenda anatafuta ela ya bundle la mwezi nyie mnafikiri anataka kufuga kuku😆Hahah mkuu niliona dogo kakomaa kuomba mtaji nikasema ngoja nimtengenezee mazingira wadau wam_push
Anaishia kusema 50k. Bado hajachapika vizuri
We si umpe🙄Ni kweli kaka kama Kuna mdau yupo vizuri ni kheri akupe hio pesa,
Mimi kwanza nilishusha matarajio yangu yote ya maisha niliyokua nayo. Nikakubali kua sio wote lazima tufanikiwe mjini. Chakwanza niidhibiti njaa sio kila
Kitu nikanunue sokoni
Ni kweli kaka kama Kuna mdau yupo vizuri ni kheri akupe hio pesa,
Seran_ ningempa uwezo ninayo mashaallah lakini nimetingwa Kwa sasa label inahitaji hela balaa gharama za kuanda video ya wimbo tu hatari, najisimamia mwenyewe, ila aniombe Kwa MUNGU kile tacho pata kwenye MZIKI tatoaa sana sana sana nadhani hawa wadogo zetu wajao watakula sana hela zangu inshaallah tuombeane uzima na afyaWe si umpe🙄
Tafuta mtu aliyejikomboa kwa kuuza chips akueleze namna ya kuanza mdogo mdogo.Tangu 2012 Nimekuwa Nikijaribu Kusimama Tena — Changamoto Niliyonayo Sasa
Wakuu, nimeona leo niandike kitu ambacho kwa muda nimekuwa nikikifikiria sana.
Mwaka 2012 nilifeli masomo. Tangu wakati huo nimepitia vipindi mbalimbali vya maisha—wakati mwingine nikiwa na matumaini, wakati mwingine nikihisi kama nimekwama sehemu moja.
Miaka imepita, lakini bado sijafikia maisha niliyokuwa nimeyafikiria.
Kwa sasa sina ajira wala kipato cha uhakika. Nipo nyumbani na bado natafuta namna ya kuanza upya. Kuna siku mahitaji ya kawaida yanakuwa changamoto, na wakati mwingine hata kiasi kidogo cha fedha kinakuwa na maana kubwa kwa mtu aliye kwenye hali kama hii.
Lakini sitaki huu uwe uzi wa kulalamika.
Nataka kuuliza wale ambao wamewahi kuanzia chini kabisa:
Ukiwa huna kazi, huna mtaji mkubwa, umefeli sehemu fulani ya maisha na unaonekana kama umechelewa kuanza, unaanzia wapi?
Nimekuwa nikifikiria kujiajiri na kuanza kitu kidogo ambacho kinaweza kukua taratibu. Tatizo ni kupata mwanzo na kujua ni wapi niweke nguvu zangu.
Labda kuna mtu hapa amewahi kupitia hali kama yangu na akapata njia ya kusimama tena.
Ningependa kusikia uzoefu wenu—
Ni kitu gani kilikusaidia kutoka kwenye kipindi kigumu?
Uliaanzia wapi bila mtaji mkubwa?
Na ni kosa gani ulifanya ambalo ungependa mtu anayepitia hali kama hii aliepuke?
Mimi bado naamini kwamba kufeli mwaka 2012 hakumaanishi maisha yote yamefeli.
Huenda mtu anayesoma huu uzi akawa na wazo, connection, fursa au hata maneno machache ambayo yanaweza kunipa direction mpya.
Niko tayari kusikiliza.
Safari yangu bado haijaisha.
Ndio ujikusanye uitoe kama sadaka ili uzidishiwe na kazi zako zitafunguka bila shida!Seran_ ningempa uwezo ninayo mashaallah lakini nimetingwa Kwa sasa label inahitaji hela balaa gharama za kuanda video ya wimbo tu hatari, najisimamia mwenyewe, ila aniombe Kwa MUNGU kile tacho pata kwenye MZIKI tatoaa sana sana sana nadhani hawa wadogo zetu wajao watakula sana hela zangu inshaallah tuombeane uzima na afya
Hahahaaaaa🤣 basi awe na subra, inshallahNdio ujikusanye uitoe kama sadaka ili uzidishiwe na kazi zako zitafunguka bila shida!
Usisahau kuinenea tu😎Hahahaaaaa🤣 basi awe na subra, inshallah
🙏🙏🙏🙏🙏 Seran we si mfanya biashara tuchangie mi natoa 25 nawe toa 25 ili wote tupate barakaUsisahau kuinenea tu😎
Mfanya biashara nauza nini?🙏🙏🙏🙏🙏 Seran we si mfanya biashara tuchangie mi natoa 25 nawe toa 25 ili wote tupate baraka
We si ulisema una duka nikakwambia nataka nikuungishe ukasema umeweka vijana we hukaipo?Mfanya biashara nauza nini?
Lipo mkoani na nataka kulifunga, kwahiyo niuze nguvu zangu nije kuwagawi humu?We si ulisema una duka nikakwambia nataka nikuungishe ukasema umeweka vijana we hukaipo?
Seran_ ukilifunga inamana hutaki tena mambo ya biashara auLipo mkoani na nataka kulifunga, kwahiyo niuze nguvu zangu nije kuwagawi humu?
Watu nilowaacha walianza kutokuwa seriousSeran_ ukilifunga inamana hutaki tena mambo ya biashara au
Hakuna namna zaidi ya kuanza unachofikiriaTangu 2012 Nimekuwa Nikijaribu Kusimama Tena — Changamoto Niliyonayo Sasa