Tangu 2012 napambana ila bado bado

Tangu 2012 napambana ila bado bado

Mimi kwenye mziki wako nakuwa nafanyaje? Au ndio mnenguajišŸ˜†
Hapana nimedhamiria kufanya mziki kuwa kazi yangu ya kwanza lakini lazima nipate watu mashuhuri mfano, koneksheni ya show, mtu anajua chap linapo tokea jambo la KIJAMII mfano mwenge, mikutano ya umma anaangalia nitapataje showz, si hivyo tu matukio ya show za clubs nk au kianda show wenyewe ikiwa tutapata hit song
 
Ooh saw akila la kheri! Mdogo mdogo tu utafika!
 
Sawa mkuu, ni MUNGU tu ndio naemtegemea mana tayari Nina label yangu inani simamia mwenyewe nahitAji konekshen tu, na mtu mnyumbulifu ili tutengeneze billions of money japo si kazi nyepes
Koneksheni zitakukuta mbele ya safari anza kujibrand mwenyewe, uzuri siku hizi mmerahisishiwa gen z unatumia tiktok live unafanya mambo watu watakuja wenyewe!
 
Pole sana kwa safari ndefu na mapambano ya miaka mingi tangu 2012. Ni jambo la kawaida kabisa kuchoka na kujisikia vibaya wakati matokeo hayajalingana na nguvu unazoweka, lakini kumbuka kuwa kuendelea kupambana kwa miaka 14 ni ushahidi tosha wa ustahimilivu na ushujaa mkubwa ulio nao ndani yako.
Kama mambo bado hayajakaa sawa, hii haimaanishi kwamba wewe ni mshindwa, bali huenda ni wakati wa kubadili mbinu.

Tafuta Mtandao Mpya (Networking).

Wakati mwingine mlango wa mafanikio haufunguliwi na kile unachokijua, bali na nani unayemjua. Badili mazingira, zungumza na watu waliofanikiwa kwenye eneo unalolipambania, na uombe ushauri au ushirikiano (mentorship).

Tunza Afya ya Akili na Nafsi.

Mapambano ya muda mrefu yanaumiza kisaikolojia. Usijihukumu wala kujilinganisha na wengine waliochelewa kuanza lakini wapo mbali. Kila mtu ana majira yake ya kuvuna, mradi tu halali shambani.
 
Ahsante sana mkuu. Umesema kweli—labda muda huu si wa kupambana zaidi, bali kubadili mbinu. Nimeupokea ushauri wako, nitaendelea kusonga mbele. Mungu akipenda, mavuno yatakuja. šŸ¤šŸ½
 
Nimeyasoma maoni yenu yote, mazuri na makali. Nawaheshimu wote kwa mtazamo na ushauri wenu. Ninakubali kukosolewa na kujifunza pale ninapokosea, lakini sitakubali kukatishwa tamaa na maneno ya watu. Safari yangu nimeipitia kwa uvumilivu, na bado naamini ipo sababu ya kuendelea. Nitajifunza, nitabadilisha mbinu pale inapobidi, lakini nitasimama kwenye msimamo wangu. Muda na matokeo ndivyo vitakavyosema zaidi kuliko maneno. šŸ™šŸ½
 
Changamoto na dharura ninazopitia Mungu Baba anazijua. šŸ™šŸ½ Nimeyasoma maoni yenu yote, mazuri na makali, na naw respekti kila mmoja kwa mtazamo wake. Sikatai kukosolewa wala kushauriwa, lakini naomba pia niheshimiwe katika hali ninayopitia. Sijaja hapa kujitetea kwa maneno mengi; nimekuja kushirikisha sehemu ya safari yangu. Nitaendelea kutafuta njia halali, kujifunza na kupambana kwa heshima. Mwenyezi Mungu ndiye anayejua mzigo wa kila mtu na wakati wa kila mmoja. šŸ¤²šŸ½
 
Pole sana kwa safari ndefu na mapambano ya miaka mingi tangu 2012. Ni jambo la kawaida kabisa kuchoka na kujisikia vibaya wakati matokeo hayajalingana na nguvu unazoweka, lakini kumbuka kuwa kuendelea kupambana kwa miaka 14 ni ushahidi tosha wa ustahimilivu na ushujaa mkubwa ulio nao ndani yako.
Kama mambo bado hayajakaa sawa, hii haimaanishi kwamba wewe ni mshindwa, bali huenda ni wakati wa kubadili mbinu.

Tafuta Mtandao Mpya (Networking).

Wakati mwingine mlango wa mafanikio haufunguliwi na kile unachokijua, bali na nani unayemjua. Badili mazingira, zungumza na watu waliofanikiwa kwenye eneo unalolipambania, na uombe ushauri au ushirikiano (mentorship).

Tunza Afya ya Akili na Nafsi.

Mapambano ya muda mrefu yanaumiza kisaikolojia. Usijihukumu wala kujilinganisha na wengine waliochelewa kuanza lakini wapo mbali. Kila mtu ana majira yake ya kuvuna, mradi tu halali shambani.
Kwa kweli sina maneno ya kutosha ya kueleza jinsi ujumbe wako ulivyonigusa. Nimeusoma mara kadhaa, na kila nilipousoma nilijikuta nikitokwa na machozi. Leo nimekuwa nikilia siku nzima, si kwa sababu ya kukata tamaa tu, bali kwa sababu maneno yako yamenikumbusha kwamba bado kuna watu wanaoelewa na kuthamini mapambano ambayo mtu hupitia kimya kimya.

Ninakushukuru sana kwa moyo wangu wote kwa kunitia moyo, kunikumbusha thamani ya ustahimilivu wangu na kunipa mtazamo mwingine wa maisha. Kwa miaka yote hii nimepitia mengi, na wakati mwingine nimekuwa nikijiuliza kama kweli juhudi zangu zina maana. Lakini ujumbe wako umenifanya nitafakari upya.

Nimepokea ushauri wako kwa moyo wa unyenyekevu mkubwa. Huenda kweli huu si mwisho wa safari yangu, bali ni wakati wa kujifunza, kubadili mbinu na kuendelea mbele kwa hekima zaidi.

Mungu akubariki sana kwa moyo wako wa kujali na kwa muda ulioutumia kuniandikia maneno haya. Huenda kwako ni ujumbe tu, lakini kwangu umefika wakati ambao nilikuwa nahitaji sana kusikia maneno kama haya. Nimeyathamini kuliko ninavyoweza kueleza. šŸ™šŸ½ā¤ļø
 
Kwanza usifikirie ulipo kosea wala usi fikirie nyakati za nyuma hizo zilisha pita haziwezi rudi zaidi zita kuumiza tu na kwa nini uumie kwa sababu ya wakati ulio pita ? Jibu ni uta poteza mda zaidi .

Anza kufikiria na kufanyia kazi wakati uliopo ishi maisha yako kwenda mbele na sio kurudi nyuma leo usiku kabla ujalala fikiria kwa eneo uliopo jambo gani uki focus nalo unaweza toka .

Note
Usi imagine vitu visivyo kuepo wala usi waze kwa kuangalia watu wata kuonaje au wana kuonaje

Realize deeply that the present moment is all you have .Make the now the primary focus of your life .

TARUDI KESHO KUMALIZIA
Screenshot_20260916_190859_Instagram.jpg
 
Kwanza usifikirie ulipo kosea wala usi fikirie nyakati za nyuma hizo zilisha pita haziwezi rudi zaidi zita kuumiza tu na kwa nini uumie kwa sababu ya wakati ulio pita ? Jibu ni uta poteza mda zaidi .

Anza kufikiria na kufanyia kazi wakati uliopo ishi maisha yako kwenda mbele na sio kurudi nyuma leo usiku kabla ujalala fikiria kwa eneo uliopo jambo gani uki focus nalo unaweza toka .

Note
Usi imagine vitu visivyo kuepo wala usi waze kwa kuangalia watu wata kuonaje au wana kuonaje

Realize deeply that the present moment is all you have .Make the now the primary focus of your life .

TARUDI KESHO KUMALIZIAView attachment 3671975
Umesema kweli kabisa. Yaliyopita ni somo, si sehemu ya kuishi. Cha msingi ni kuitumia leo vizuri, hata kwa hatua ndogo. Maisha hubadilika pale tunapoacha kujilaumu na kuanza kufanya kazi na kile tulicho nacho sasa. Hapo ndipo mwanzo wa mabadiliko ulipo.
 
Nenda sehemu zenye migodi midogo midogo kama pande za katoro, lwamugasa, nyarugusu, mgusu, huko mkoani geita au kakola, nyakagwe mkoani shinyanga.

Huko kote mimi nimepita, nimepiga kazi za kutwa kwa elfu8 hadi kumi ila siku hizi migodi mingi ukiingia asubuhi saa moja unatoka kesho yake asubuhi saa moja unalipwa kati ya 20k hadi 30k.

Kazi kubwa ni kupakia mawe saizi ya kawaida saana na sio mchaka mchaka kivile kupumzika a.k.a KULA TANO kupo sana tu.

Misosi ipo mala mbili hadi tatu kutegemeana na mda wako wa kazi.
Kama huwezi kuingia duarani bado kuna kazi za juu kifupi kazi ni nyingi hadi kwenye plants za kuozesha marudio. Yaani madogo huku, kina mama kina baba wapo plants wanapiga kaz hawakosi 450k had 600k kwa mwezi.

Bei ya dhahabu inapanda na migodi inaongezeka so ajira pia zinaongezeka.

Hiyo 50k ya kufuga kuku!!!!???? Kuku mmoja jogoo ni 50k au we uko kijijini sana? Halafu kuanza na kuku wawili utatoka lini br??
 
Mkuu, niko bush sana na kwa kweli napitia changamoto kubwa sana kwa sasa. Ndio maana hiyo 50K kwangu ni mtaji wa kuanzia, si kwamba nimepanga kubaki na kuku wachache. Nikifanikiwa kuanza na kujenga msingi, lengo langu ni kujitoa nilipo na kwenda maeneo kama Geita/Katoro kutafuta fursa na kujipambanua zaidi.

Nimesomea mifugo na nina uelewa wa ufugaji, hivyo ninaamini nikipewa nafasi ya kuanzia naweza kujenga hatua kwa hatua. Kama kuna mtu mwenye uwezo wa kunisaidia hata kwa ushauri, connection au mtaji huo wa kuanzia, nitashukuru sana. Naomba msaada huo kwa heshima, kwa sababu kwa sasa changamoto nilizonazo ni kubwa na ninatafuta njia ya kujitoa kwenye hali hii kwa nguvu zangu mwenyewe. šŸ™šŸ½
 
Hilo eneo anza hata kupanda mbogamboga uza utapata mtaji! Kaza mtoto wa kiume! Ukipewa hiyo elfu 50 hutokuwa na machungu nayo, utarudi tena kuomba hapa kwasababu unaona ni rahisi!

Piga hata vibarua viwili vitatu huwezi kosa! Kuna mwenzako naye jana kaanzisha uzi ila ukimpa kazi hataki yeye anataka ela..

Kila la kheri..
Hatare sana mzee.... Vijana siku hz utasikia nikipata mtu akanipa pesa,, nadhani ukipewa kazi ni rahisi kuliko pesa.... Kazi itakupa uzoefu... Utakutana na watu..... Utakutana na mawazo tofauti tofauti na hapo utajikuta una kua kiakili zaidi na kukufanya uzione fursa kivingne

Nimechoka kutype
 
Ushauri mzuri mkuu, nimeuchukua. Kazi na fursa zote zina nafasi yake, muhimu ni kusonga mbele.
 
Hatare sana mzee.... Vijana siku hz utasikia nikipata mtu akanipa pesa,, nadhani ukipewa kazi ni rahisi kuliko pesa.... Kazi itakupa uzoefu... Utakutana na watu..... Utakutana na mawazo tofauti tofauti na hapo utajikuta una kua kiakili zaidi na kukufanya uzione fursa kivingne

Nimechoka kutype
Mwenzio kila comment anakazia apewe hiyo elfu 50 we unamjazia maushauri hapa..šŸ™„

Unachoka kutype hata weekend bado🤣
 
Back
Top Bottom