Tangu 2012 napambana ila bado bado

Tangu 2012 napambana ila bado bado

Ninayoyapitia...
Huyapitii peke yako mkuu kuna jobles kibao humu. Lakin miaka hiyo mingi sana mzee angalia tena vipaumbele vyako, na mipango yako iweke ile unayoweza kuitekelza ontime
 
Ninayoyapitia...
Huyapitii peke yako mkuu kuna jobles kibao humu. Lakin miaka hiyo mingi sana mzee angalia tena vipaumbele vyako, na mipango yako iweke ile unayoweza kuitekelza ontime
 
Kama mtu unauwezo wa kumsaidia mtu msaidie , sio rahisi hata kidogo kwa mtu mzima mwanaume kuomba, huo ni mkwamo .
 
mkuu, miaka 30 umeenda sana ukisema uanze taratibu hautofika, jaribu na njia haramu pia.
 
Back
Top Bottom