Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,755
nilifikiri anaongea kitu cha maana, baba yako anatuhusu nini mkuu, hapa tujadili mambo ya kujenga, sio kuwekeana sherehe za uchochoroni huko, ina faida gani hiyo kwa jamii ya kitz hata utushirikishe watu wote sisi? samahani kukujibu hivi, nimeshindwa kujizuia.
Roho mbaya tu hiyo inakusumbua wewe.Kama vp si ungekaa kimya tu...Hongera sana kwa mzee wetu Chigwiyemisi kwa kufikia umri huo.Mungu amzidishie maisha marefu,bado twazihitaji busara zake