kiraia
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 1,716
- 1,005
Kuna tangazo la Tigo liko hewani kwa takribani week tatu sasa likitambulisha kasi ya huduma yao ya 4g.
Hili tangazo kwa kweli linadhalilisha wenzetu wenye tatizo la kuongea sijui kitaalamu hili tatizo linaitwaje japo wengine wanaita kigugumizi
Watu mlioko Marketing Tigo mmekosea sana kuna vitu vingi mnaweza kuvifananisha na spidi ndogo ila sio tatizo la wenzetu amabao hawawezi kuongea bila kugandisha maneno. Tafadhali ondoeni tangazo hili sokoni.