AMB
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 206
- 65
Kiswahili kigumu japo ndo lugha yetuMbona sio kigugumizi kinachosemwa kwenye tangazo lile, huwa kinachosemwa ni kwikwi ambalo hakuna mtu anaedumu na tatizo hili la kwikwi, maana muda mwingine dawayake ni kunywa maji tu. Hebu rudi kwenye tangazo usikilize tena utabaini wanachokisema.