TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,653
Reaction score
4,758
NAFASI: FUNDI WA AIR CONDITIONING (AC) & REFRIGERATION.

Kampuni yetu VGK, inatangaza nafasi ya kazi kwa Fundi wa AC mwenye sifa zifuatazo:

Sifa za Mwombaji:

1. Awe na cheti cha ufundi wa AC/REFRIGERATION (VETA/NACTVET au taasisi inayotambulika).
2. Awe na uzoefu wa kazi ya ufungaji, matengenezo na ukarabati wa mifumo mbalimbali ya AC na REFRIGERATION.
3. Awe na uwezo wa kubaini na kutatua hitilafu mbalimbali za AC.
4. Awe mwaminifu, mchapakazi na mwenye nidhamu kazini.

Maombi: Waombaji wenye sifa wanakaribishwa kuwasilisha CV zao pamoja na nakala za vyeti vya taaluma kwenye EMAIL: kibocommercialcomplex@vgk.co.tz

Mwisho wa maombi: 17 November

Mawasiliano: 0659808525
 
Ukiwa unatafuta fundi mkuu! Achana na mavyeti! Hayo mavyeti na umhimu serikalini! Lakini huku private sector Sema unatafuta fundi tu! Kuna watu wana degree na diploma na ni fundi wazuri kabisa!
 
Unataka ufundi au vyeti na kwa vyovyote hii ni kampun ya mtu mweusi ila kampuni za nje zinazoitaji mafundi hua hawataki vyeti wao wanataka lesen tu na kupewa kitu kibovu utengeneze au mtambo uufanyie kazi au sevisi
 
Ukiwa unatafuta fundi mkuu! Achana na mavyeti! Hayo mavyeti na umhimu serikalini! Lakini huku private sector Sema unatafuta fundi tu! Kuna watu wana degree na diploma na ni fundi wazuri kabisa!
YEYE AKIWA NA UZOEFU TU KAZINI...AWASILIANE NASI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom