fundi friji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fundi friji dar

    JamiiForums Tanzania FUNDI FRIJI DAR. matengenezo ya friji na freezer Dar es salaam

    Habari za majukumu wana-JamiiForums, Wasifu wetu ni FUNDI FRIJI DAR, tunajishughulisha na utoaji wa huduma za ukarabati, matengenezo, na service ya vifaa vya ubaridi majumbani na maofisini jijini Dar es Salaam. Huduma Tunazozitoa Mahususi: • Matengenezo ya friji na freezer za aina zote...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Friji lina miezi 3 ila sasa haligandishi

    Habari za muda huu, ni matumaini yangu mwaka umeanza salama. Bila kupoteza muda, ninaomba kwa wenye ufahamu kuhusu suala langu. Nina friji jipya kabisa la kampuni ya AILYONS, nililinunua mwezi wa 10. Mwanzo halikuwa na shida yoyote, lakini sasa linashindwa kuendelea na kazi yake kwa muda...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi friji na majiko ya gesi

    Mimi ni fundi friji na majiko ya gas mawasiliano 0696222711
  4. HORSE POWER

    JamiiForums Tanzania Natengeneza friji, friza na viyoyozi

    Habari wanaJF. Kwa wenye uhitaji wa mafundi friji na friza,halikadhalika kufunga AC na kutengeneza AC pindi ziletapo changamoto, karibuni Seneta Electrical & Cooling system workshop iliyopo Kisemvule. Huduma zetu ni door to door. Kwa mawasiliano zaidi tupigie: 0694575787,0774497962
Back
Top Bottom