Tangazo la kusudio la kugoma

daaaaamn!!!i missed you BABY gal...u what um saying...lol:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S kiss::A S kiss:

simanje kimare avae
 
nyie mnaokaidi tangazo la mgomo....mnajua mnavunja sheria.....?...na wewe mtu chake...naomba utafute jina lingine....jina la bebi wenyewe wamekataa......
 
Last edited by a moderator:
..hahahahahahaa....wacje kugoma kuwa eti tumevamia na nyonyo zao wakati tuliziacha wenyewe@bebii@Preta
 
uwiiiiii nyie watu nawapendajeeeee, mmenichekesha wallah, eti usichanganye migomo, mwingine eti suala hili lipo mahakamani, khaaaaaaa! i luv u guys! lol
 
khaaa! Preta mbona umesahau pia huyo wa kwenye picha kanyang'anywa haki yake ya kuogea beseni wanamuaogeshea kwenye sufuria.

istoshe wababa wote na midevu yao lol wamenyang'anya haki ya watoto kunyonya lol! siku hziz nao wananyonya jamani kweli hii ni haki?

na jee wewe mwanamke kila siku unanyonywa hivi si utanyonywa hadi damu sasa?
 
we love you too cacico......
 
sio sufuria tu....ni sufuria la supu.....kuonyesha msisitizo wa mgomo......
inaudhi gfsonwin.....kunyang'anywa haki yako ya msingi......
 
Last edited by a moderator:
..hahahahahahaa....wacje kugoma kuwa eti tumevamia na nyonyo zao wakati tuliziacha wenyewe@bebii@Preta

waaaaa......huu mgomo unajitegemea.....usichanganye na huu tafadhali......
Hapa ninasikia harufu ya rushwa na ulindaji wa maslahi binafsi.
NWY, naunga mkono 1000% matumizi mabaya ya BABY, lakini kuanzia sasa Preta nikuiteje, mimi ukiniita TOTOKUBWA ninaridhika.
 
Last edited by a moderator:
Hapa ninasikia harufu ya rushwa na ulindaji wa maslahi binafsi.
NWY, naunga mkono 1000% matumizi mabaya ya BABY, lakini kuanzia sasa Preta nikuiteje, mimi ukiniita TOTOKUBWA ninaridhika.

ha ha....totokubwa hapana....refu mno....nipo studio natafuta jina.....
btw.....saumu makbul.....
 
Last edited by a moderator:
ha ha....totokubwa hapana....refu mno....nipo studio natafuta jina.....
btw.....saumu makbul.....
Muchas gracias por lo de Ramadán.
Ni wazo zuri sana hilo la kuwatafutia jina mbadala kabla ya kuwanyang'anya, ijapokuwa ni wavamizi wa "private property".
 
Back
Top Bottom