babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,398
- 3,244
Jaman mchuano wa CHADEMA na CCM sasa umekua mkubwa kiasi cku zinapokaribia 2015 mambo mzito yanaibuka. watu wanatishiwa maisha wengne wanataka wapinzani wao wafutwe na msajili wa vyama, sasa je ikatokea leo chadema ikafutika yenyewe au vingnevo ccm na serikali yake unaipa sura gani kwa jinsi walivyobanwa mbavu?