david mchomvu
New Member
- May 14, 2014
- 1
- 0
Nauza galaxy s advance kwa tsh 315,000. Imetumika mwez 1 na siku 9. Kama utaihitaj nitafute kwenye no 0652449233
nisaidie aisee nikitaka kuweka post nafanyaje maana nashindwa kabisa
Nauza galaxy s advance kwa tsh 315,000. Imetumika mwez 1 na siku 9. Kama utaihitaj nitafute kwenye no 0652449233
nauza nyumba...ipo mtoni kijichi beach kabisa...hatua chache kutoka baharini...majirani wa huko ni akina salim ahmed salim...salimini amour pia amejenga jirani hapo...na kamanda zombe pia amejenga huko...nyumba mpyaa sana toka ijengwe haijawahi kukaliwa na mtu...na pia nyuma ya nyumba kuna kiwanja kikubwa kinachotoa nyumba nyingine tena...
kwa mawasiliano nipigie 0653331515
Wacha urongo, Mtoni Kijichi hakuna bahari!
Karibu kiwanja safi kujivinjari karibu na Legder Plaza zamaniBahari Beach Hotel, vyumba bya kisasa upepa mwanana bei mpaka vya 20000 vipo pamoja na b/f.
humu kuna wajasiliamali wengi zaidi hakuna wafanyabishara wengi si unajua matangazo yetu mara nauza simu iliyotumika sh laki mara nauza kibanda changu kule mabwepandeWakuu mbona kimyaa hakuna wafanyabiashara wanao tembelea JF?