Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

Status
Not open for further replies.
Waungwana natafuta kiwanja handeni maeneo ya kwenjugo upande wa pil wa barbar ya koro anayeua aniunge ama ani pm
 
Jamani salama waungwana,mwenye kuhitaji fundi wa umeme kwa ajili ya kufanyiwa wiring tuwasiliana-0718302132
 
Habari waungwanaa ...... Kw mahitaji ya ramani za nyumba aina zote wasiliana nami kwa nambari 0768409283..;au 0785613572 pia waweza kunipata kwa e-mail hii Bashiramir84@gmail.com ramani yako utaipata kw njia ya e mail ikiwa mteja uko mbali.. Zingatia :- uaminifu katika kazi ni muhimu.. Tabora na Dar es salaam ndipo hua napatikana mara kwa mara..
 
nauza nyumba...ipo mtoni kijichi beach kabisa...hatua chache kutoka baharini...majirani wa huko ni akina salim ahmed salim...salimini amour pia amejenga jirani hapo...na kamanda zombe pia amejenga huko...nyumba mpyaa sana toka ijengwe haijawahi kukaliwa na mtu...na pia nyuma ya nyumba kuna kiwanja kikubwa kinachotoa nyumba nyingine tena...
kwa mawasiliano nipigie 0653331515

Wacha urongo, Mtoni Kijichi hakuna bahari!
 
Karibu kiwanja safi kujivinjari karibu na Legder Plaza zamaniBahari Beach Hotel, vyumba bya kisasa upepa mwanana bei mpaka vya 20000 vipo pamoja na b/f.
 
Karibu kiwanja safi kujivinjari karibu na Legder Plaza zamaniBahari Beach Hotel, vyumba bya kisasa upepa mwanana bei mpaka vya 20000 vipo pamoja na b/f.

Hicho kiwanja cha kujivinjari mbona umetoa location tu hujasema panaitwaje?
 
Wakuu mbona kimyaa hakuna wafanyabiashara wanao tembelea JF?
humu kuna wajasiliamali wengi zaidi hakuna wafanyabishara wengi si unajua matangazo yetu mara nauza simu iliyotumika sh laki mara nauza kibanda changu kule mabwepande
 
kwa anaetaka tuition ya history,kiswahili,english,civics,geography na biology kwa o level na advance
Muda wa kusoma ni jioni
Nitafute kwa 0754 895 321
 
Tunachora Ramani zanyumba zakisasa kwabei nafuu sana. Tupo moroco Dar es salaam. Pia walioko mikoani watatumiwa michiroyao.
Wasiliana nasi kwasimu 0717 040837. Au email: info@tancad.com
Karibuni sana.
 
Nawakaribisha vijana wote wanaopenda kutimiza ndoto zao kupitia ujasiriamali kupitia part time bussiness ambapo unauwezo wa kutengeneza kuanzia mill3 na zaid ndan ya miezi3 tu. For more details tuwasiliane kwa no 0762404670(watssup)
 
FREIGHT AFRICA AGENCIES TANZANIA LIMITED:


We deals with CLEARING & FORWARD SERVICES, located in Dar es salaam, Tanzania,Mnazi mmoja near NBC Bank.

Also if you want to buy used car with good condition in Dar es salaam at a reasonable price please contact us: CALL/WHATSAPP +255788295741 OR +255717295741 EMAIL: josephsoka@yahoo.com


Tunaagiza na kutoa mizigo / Magari bandarini na Airport kwa gharama nafuu,

Pia kama unahitaji kununua gari iliotumika hapa nchini, ilio kwenye halo nzuri, na kwa bei nzuri, tafadhali wasiliana nasi 0788295741, 0717295741, EMAIL: josephsoka@yahoo.com

PAMOJA TUNAWEZA
 
Wasiliana na mi goodkidstore instagram kwa simu kali used na mpya kwa bei nafuu zaidi napatikana mwanza shipping nafanya pia #0714203090
 
Last edited by a moderator:
nauza kiwanja changu goba (kunguru )st. joseph kina nyumba ya kukarabati ina umeme kipo hatua tano toka hifadhi ya barabara 0653992118 kwa inf zaidi dalali hatakiwi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom