Baadhi ya mila na desturi zilizotumika kufundisha jamii vyema

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,593
188,808
Habari Wanajamiiforums.
Wote Ni Wazima Na Afya Njema Tunaendelea Na Majukumu Ya Kila Siku.

Hizi Ni Baadhi Ya Mafunzo Tuliopewa Na Wazee Wetu Tukiwa Wadogo Na Tumekuwa Watu Wazima Na Wengine Hawakujua Maana Yake. Nitaanza Kama Ifuatavyo:-

1. Sisimizi Ni Dawa Ya Tumbo
Wazee Wetu Walikuwa Na Taratibu Za Kupika Chakula Kingi Na Kulazimika Chakula Hicho Kubaki Na Kuliwa Siku Iliyofuata. Sasa Changamoto Ilikuwa Ni Namna Ya Kukihifadhi. Hivyo Kukosekana Kwa Njia Nzuri Ya Kuhifadhi Chakula Ikapelekea Sisimizi Kuvivamia Na Hivyo Vyakula Vingi Vilivyokuwa Vikihifadhiwa Vinakuwa Na Sisimizi Wengi. Hivyo Basi Wazee Wetu Wakaona Kutupa Chakula Si Jambo Zuri Katika Mila Zetu Ya Kiafrika.

Na Hapo Jamii Ikaaminishwa Kuwa Sisimizi Ni Dawa Ya Tumbo Kuepusha Jamii Kutupa Chakula Kilichovamiwa Na Sisimizi. Japo Hadi Leo Kuna Watu Wanaamini Kuwa Sisimizi Ni Dawa Ya Tumbo Ila Hakuna Uhusiano Wowote Wa Sisimizi Na Kutibu Tumbo.

2. Kukata Kucha Usiku Kunaweza Sababisha Mtu Umpendaye Kufariki
Hii Pia Katika Jamii Imeenea Na Watoto Uambiwa Hivyo Ila Lengo Kumlinda Mtoto Na Kujikata Na Wembe. Ikumbukwe Hapo Zamani Kucha Zilikuwa Zinakatwa Na Wembe Na Mtoto Mwenyewe Ilikuwa Ni Jukumu Lake Kuwa Msafi Na Nadhifu Kila Siku.

Kabla Ya Kuja Kwa Hizi Nails Cutter Watoto Wengi Muda Wa Mchana Wanakuwa Busy Na Michezo Na Kusahau Kufanya Usafi Wa Kucha Hadi Usiku Unafika.

Kuzuia Watoto Wasijikate Na Wembe(Ndicho Kilichokuwa Kinatumika Enzi Hizo) Basi Wazee Wetu Wakatuletea Msemo Wa Kutisha Wa Kusema Kukata Kucha Usiku Ni Kuleta Mikosi / Kifo Katika Ukoo.

Unaweza Kuongezea Misemo Ya Wazee Waliotoa Kwa Jamii Kwa Lengo La Kufundisha Vizazi Vijavyo.

Nawasilisha Wenu Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa kichafu
 
Mada nzuri sana.

Kula mayai mtoto atapata kipara.Lengo ni Kuzuia Watoto vibonge ambao ingekuwa shida kwa wamama kujifungua maana oparesheni hazikuwepo.
 
Wajawazito Waliaminishwa Kula Mayai Tunafanya Watoto Kuzaliwa Na Kipara Kumbe Wazee Walilenga Mtoto Akizaliwa Awe Na Kilo Chache Maana Technology Ilikuwa Bado Nyuma.

Heshima Yao Wahenga.
Mada nzuri sana.

Kula mayai mtoto atapata kipara.Lengo ni Kuzuia Watoto vibonge ambao ingekuwa shida kwa wamama kujifungua maana oparesheni hazikuwepo.
 
Pia;
Kumpiga Kwa mfagio mwenzio na kukalia mafiga na kinu ilionekana kuwa ni mwiko.
✓. Kumpiga Kwa Mfagio - Kuzuia Mtu Yeyote Kutumia Fagio Kuepusha Majeraha Makubwa Kama Mzazi Atatumia Kumpigia Mtoto Au Mtoto Kwa Mtoto.

✓. Kukalia Mafiga Au Kinu - Hivi Vitu Hutumika Kuandaa Chakula Hivyo Si Vyema Kuvifanya Vituo Vya Kukalia. (Mila Na Desturi Zilizo Bora)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom