Haya mambo huwa yananikera sanaNawakaribisha vijana wote wanaopenda kutimiza ndoto zao kupitia ujasiriamali kupitia part time bussiness ambapo unauwezo wa kutengeneza kuanzia mill3 na zaid ndan ya miezi3 tu. For more details tuwasiliane kwa no 0762404670(watssup)
Haya mambo huwa yananikera sana
Ninauza mziki(PA) pamoja na Projector na Generator.Vyote vipo katika hali nzuri,nilikuwa nafanya biashara ya kukodisha mziki na kukodisha projector ila kwa sasa nimeamua kubadilisha biashara.Unaweza kununua kimoja kimoja sio lazima ununue vyote.Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa private Message.
. V. Bei zako na specs za vifaa vyako ni PM pliz
nenda ubalozi wa uingereza taja majina yote ya huyo mtu watakusaidia kumtafutaTangazo.Naomba msaada wakuu. Kuna mtu Metz Yuki UK , aliniuzia Gari hatimaye akamuuzia mwingine Gari hiyohiyo nikabaki na karatasi. Yeye salsa Yuko London. Wakuu naomba Ushauri we nu nitawezaje kupata pesa yangu kama liye nitapeli yuko ughaibuni.anajamaa zake Mbeya na DAR. Aliniuzia Gari kwa 10 million.
Niaje nipo arusha na pia nataka kutangaza biashara yangu nipen mwellekeo na contct za ni inokishingo@gmail.comHodi hodi jukwaani kwa Waungwana wana JF,
Nitumaini kwa ukarimu wenu nyote mmesema karibu mgeni.
Nami naingia na kuanza kutoa shukrani za dhati kwa Uongozi wa Jamii Media Inc kwanza kuniruhusu kuwa mwanachama na pili kutumia abbreviation "JF" kwenye jina langu na tatu kunipa kibali cha kupokea na kuweka matangazo ya kibiashara hapa jukwaaani.
Wito kwa wanachama na wasio wanachama:
Tumeanza kupokea matangazo ya kibiashara. Lengo ni kulifanya jukwaa letu liwe na vyanzo vya mapato vitakavyoliwezesha kujiendesha kwa ustahimilivu kinyume na sasa ambapo linategema pesa toka mfukoni mwa watu wachache.
Hakuna ubishi tena juu ya uwezo wa tofuti, majukwaa na blogs katika kuwasilisha ujumbe kwa jamii. Mtakumbuka katika mwaka 2008 zaidi ya asilimia 70 ya habari motomoto zilizotikisa nchi yetu zilianzia hapa.
Na kwa upanda wa matangazo ya kibiashara japo haikuwa lengo kwa mwaka 2008, waliotangaza nasi wameona mafanikio. Traffic imeongezeka mara dufu katika site zao.