Tanganyika vs Tanzania

Tanganyika vs Tanzania

Ungependa taifa letu libadili jina?

  • Total voters
    67
  • Poll closed .
Zikiwa zimebaki siku 2 kuisha hii kura TANGANYIKA amemuacha mbali sana TANZANIA
 
A special K*mmke kwa yeyote ambaye anasapoti the on going rubbish and the terrorists organization claiming they are a legitimate government. Special F*ck you to al yall motherf*ck*rs. Your days are numbered.😡😡😡😡
 
Sisi ni hapa tu. No more bullshit.
 
TANGANYIKA. Sababu: 1. Tanganyika na Zanzibar ndizo ziliungana na kupatikana neno Tanzania. Zanzibar ipo na wazanzibar wanajivunia uzanzibar wao. Kwanini Tanganyika iogopwe na wahuni wakaipa jina bandia Tanzania bara? hili halikubaliki. 2. Sherehe za uhuru: Wazanzibar wanasherehekea sherehe za MAPINDUZI ya ZANZIBAR bila haya. Kwa kuogopa jina Tanganyika, tumeambiwa 9d ni uhuru wa Tanzania bara. Hakuna nchi inayoita Tanzania bara iliyopata uhuru 9D 61.
 
Wazanzibar wanasherehekea sherehe za MAPINDUZI ya ZANZIBAR bila haya. Kwa kuogopa jina Tanganyika, tumeambiwa 9d ni uhuru wa Tanzania bara. Hakuna nchi inayoita Tanzania bara iliyopata uhuru 9D 61.
 
Wazanzibar wanasherehekea sherehe za MAPINDUZI ya ZANZIBAR bila haya. Kwa kuogopa jina Tanganyika, tumeambiwa 9d ni uhuru wa Tanzania bara. Hakuna nchi inayoita Tanzania bara iliyopata uhuru 9D 61.
Mkuu;
Huwa nakuona muungwana. Sijui nilikuwa najidanganya!!
Iko hivi: Wazanzibari hawajahusika kuliondoa jina Tanganyika. Ni Nyerere mwenyewe, kwa kuiogopa/kuichukia Zanzibar na baadae akafuatiwa na wenziwe, ndio walioliondoa jina la Tanganyika kwenye katiba ya mwaka 1966 na baadae ikafuatiwa na hii ya mwaka 1977. Kamuulize/kamlalamikie Pius Msekwa atakupa habari ya jambo hili. Hili hulielewi kwani wakati huo hukuwepo. Nasikia pande hizo mumesoma sana. Ni kweli?
 
Usinielewe vibaya mkuu hizo nukuu ni kama vile nimezi highlight points muhimu.. Umeandika vitu ambavyo ni uhalisia lakini wengi wanaogopa kuvisema
Kongole Mkuu💪🏿
 
Mkuu; baada ya kusikiliza hii clip nimegundua mambo mawili makubwa:
1. Watu hawajui wanataka nini.
2. Watu hawawajui (ignorants) hata viongozi. Ni ajabu kudai kuwa Chande ni Mzanzibari kwasababu tu ya jina lake. Sisi Waswahili tunasema jina si mboje. Kama ni jina vipi Jakaya na wengine wenye majina yanayofana na yale yanayotumika Zanzibar?

Ni vyema kuchukua muda kutafuta taarifa sahihi badala ya kusema tu kwasababu unao uhuru wa kusema na matokeo yake ukasema uongo.
 
Ni vyema kuchukua muda kutafuta taarifa sahihi badala ya kusema tu kwasababu unao uhuru wa kusema na matokeo yake ukasema uongo🙏🏿
 
John Heche anena mazito juu kalia zinazotolewa toka Zanzibar ;
Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha huku bara..

Maneno muhimu kutoka kwako:

Unaelekeza mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari!!!! Ni mtu gani anaweza kuwa na kitambulisho cha Mtanzania lakini hana cha Mzanzibari?

Bila shaka ni mtu kutoka Tanganyika.

Umesema hatuna uwezo wa kutibu watu milioni 60 ambayo hiyo ni idadi ya Watanzania ambao wengi ni Watanganyika.

Je kuna siku wote wamevuka kuja kutafuta matibabu huko?

1. Saada unaweza kuwambia watu deni la Taifa ambalo kila mwezi tunalipa karibia trilioni moja na kadhaa ni kiasi gani kinatoka kwenye makusanyo ya Zanzibar?

2. Serikali za mitaa sio suala la muungano kwa katiba yetu,

Je unajua kuna wakurugenzi wa halmashauri za miji na majiji wameteueliwa kutoka Zanzibar huku Tanganyika?

Unajua kuna MADC wengi tu wameteueliwa kutoka Zanzibar wako huku bara?

Umefuatilia kwenye idara za madini, utaliii na wizara nyingi ambazo sio za Muungano kuna wakuu wa idara wangapi, wakurugenzi wa idara na maafisa wangapi kutoka Zanzibar?

Unataka Watanganyika wanaoishi huko wabaguliwe na wasipewe matibabu kwasababu ya kukosa kitambulisho cha Mzanzibari hata kama ana matibabu kadi ambayo ni sawa na bima ya afya….

Je Wazanzibari wanaoishi huku Tanganyika na wana bima za afya za NHIF nao wanyimwe matibabu?

Huyu ni waziri wa pili ndani ya mda mfupi kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya Watanzania wengine na hakuna kauli yet kutoka kwa aliewateua… Kwahiyo huu ndio msimamo wa ccm na ndio msimamo wa wateuzi wao.

Nani anaewatuma hawa kusema haya? Maana sio bahati mbaya… nani anaewatuma kuwabagua Watanganyika?
 
Back
Top Bottom