Tanganyika vs Tanzania

Ungependa taifa letu libadili jina?


  • Total voters
    67
  • Poll closed .
Tatu, jina Kilimanjaro linaunganisha historia ya kale, biashara, na urithi wa Kiafrika bila mgawanyiko wa kisiasa, na ni kumbukumbu ya safari za wakoloni na wapigania uhuru Afrika
Nyongeza Kilimanjaro kanda ya kusini kuna mambo mengi ya kipekee duniani
Wamasai
Vivutio vya asili
Mbuga maarufu za wanyama
Madini ya kipekee
Nknk
 
Maskini haters wa Samia, Sasa hivi yamekuwa kama mazombie hata wanachokiongea hawakijui.......huyo ndo Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Humpendi tokomea zako nampula.
 
Nimepiga tu kura sitakuwa na cha kuandika nitakuwa napitia maoni ya wenzangu
 
"TANGANYIKA" ndio sahihi zaidi Kilimanjaro ni kweli ina sifa ulizisema lakini behind the scene inabeba jamii fulani. Ili kuondoa tashwishwi ni kubaki na our beloved name TANGANYIKA
 
Jina “Azania” ni jina la kihistoria lililotumika na Wagiriki na Waroma wa kale kuashiria sehemu za pwani ya Afrika Mashariki, kuanzia Eritrea hadi Tanzania ya leo. Asili yake inahusiana na maandiko ya kale ya mabaharia na wasafiri, na baadaye likawa pia jina la kiitikadi linalotumika kuashiria Afrika Kusini katika harakati za ukombozi.
 
"TANGANYIKA" ndio sahihi zaidi Kilimanjaro ni kweli ina sifa ulizisema lakini behind the scene inabeba jamii fulani. Ili kuondoa tashwishwi ni kubaki na our beloved name TANGANYIKA
Hata Tanganyika lina husisha jamii ya watu wa Kigoma. Sioni ubaya Kilimanjaro kutumika kwa sababu linahusisha jamii za kichgga, kimasai, kimeru na kipare ambazo ni watanzania wenzetu pia
 
Nimeongeza maarifa hapa asante Sana mkuu Huihui2
 
Hata Tanganyika lina husisha jamii ya watu wa Kigoma. Sioni ubaya Kilimanjaro kutumika kwa sababu linahusisha jamii za kichgga, kimasai, kimeru na kipare ambazo ni watanzania wenzetu pia
"Kwanza niseme siko katika malumbano ila tunajaribu kujenga hoja za kufikirika maana hazijawa halisi." Jamii ambayo inajiona au inaonwa kuwa iko juu kijamii ukaipa jina la nchi unadhani nini kitatokea? Kwa mtazamo wangu mfinyu jamii hiyo itaingiza ushawishi mkubwa katika ajenda nyingi za kitaifa.
 
Bendera inatakiwa ibadilishwe, kwenye njano kuwe pekundu maana damu tushamwaga
 
Chagua jina litakalofaa pale taifa letu litakapokombolewa
NB: unaweza kutaja sababu
1. Tanganyika
2. Tanzania
Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 18.01.2026
Baada ya kushindwa kete zote, mnakimbilia Tanganyika......Tanzania.....Znzibar. Hamfanikiwi katika kushindana na akili kubwa.
Ifunge tu hiyo Pol hata leo, haina tija yeyote.
 
Yote hayafai, kwanini turudie majina ya zamani wakati ni nchi mpya iliyokombolewa

Bora tuiite NJOMBE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…