jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,702
- 41,865
Kwahiyo ulitakaje?Huu Si muungano ni uvamizi wa Tanganyika kwa Zanzibar.
Nyerere aliivamia Zanzibar Na kumkamata Waziri Mkuu wake pamoja Na baraza la mawaziri waliochaguliwa Na wananchi Na kuwafunga katika jela Za Tanganyika kabla Huo uvamizi kupewa jina la muungano hapo April 26 ,1964
#MaendeleoHayanaChama