Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,954
- 7,113
Pole sana mkuu,
Nimesikitika sana kwani toka tulipomwona nilihisi kama alikuwa anaendelea vizuri....
Tuko pamoja na wewe. Tutakuja kukusalimia na kuwapa pole wafiwa....
RIP Baba yetu mpendwa..!
cc: CHUAKACHARA, Mwanyasi, KOKUTONA, YNNAH, Arabela...
Babu DC!!
Mungu wangu!
Pole sana mkuu, RIP Mzee! Dark City upo sawa mkuu!
Last edited by a moderator: