Never knew with women "James Hadley chase"
I get something. But hii ni stor about. Imekuwa kama bongo movie.
inaendelea lini..............................? Nzuri sn
Kaka naomba niidevelop nikamuone shigongo tutoe kitabu maana imenivuta sana
Pole mentor kwa yaliyokukuta, linafundisha kuwa sio kila king'aacho ni dhahabu.
Mentor mzee wa kujiloweka upo!!? Njoo huku watu wanataka kujua kama usharudia kipimo cha mezi mitatu baada
Nimeshindwa kusoma yote.
Asnam, sometimes wanaume tunababaikaga, we angalia hiyo avator yako, kama wewe ndio uko hivyo halafu umekuja nyumbani kwangu, nisikudanganye, ndomu kuikumbka hapo sio rahisi, ntafikiria hivi, hivi kweli huyu nimle akiwa ndani ya nailon,mh hapana bana!
Mentor story nzuri sana mimi ilishawahi kunitokea hio kama mara 3 ndugu yangu!
Ila Mwenyez Mungu nahisi anamipango na mimi. Ila jamani wenye virusi na kujua kisha kuishi vizuri tu wa mioyo ya ajabu mno.
Unajua mtu ukijihisi umeukwaa kila kona ukigeuka unaona matangazo ya ukimwi. Redioni, tv, magazet, mabango, story za marafiki, ndugu yani dah ni rahisi kuchamganyikiwa.
Tuwe na mioyo ya kuwaelewa wenzetu na kiwahurumia ila bila kuwaonyesha maana inawaongezea stress.
Duh, na starehe zote hizo umepona. Mshukuru sana muumba wako.
It is a beautiful story based on genuine facts that can touch anybody.
Asante sana mentor umetoa somo tosha kwa wote. Ni hatari kunusanusa kila ukionacho maana vipo vinavyopalia.
Shukrani kwake Mola kwa kukunusuru; usirudie tena.
summary naomba.
. . . . Hasahasa Tanga!!
Mombasa siendi tenaaaaaaaaaaaaaaa
Majengo siendi tenaaaaaaaaaaaaaaaa
Kuna ndogondogoooooooooooooooooo
Mkuu shukrani kwa story yenye funzo kwa sisi vijana ila kupima mara 1 ukakutwa xalama haina maana mpaka uhakika zaidi yamara3 kupima baada ya hapo utakuwa salama salimini!
Pole kaka
Oooh, AFADHALI maana kuna mdada tulishare, tena nilienda kavu kavu, na wewe ndo kaugonjwa kako.
Hongera sana kwa kuwa jasiri na kuamua kupima. Mana kiukweli apo kwenye kupima palitaka moyo hasa baada ya kujua kama ulitembea na mwathirika.
hatimaye nimeweza kuisoma ila naomba tu uje unisomee tena. lol
yaa ni kweli , maana jamaa kama ni vitani risasi imekwangua nywele next time usiache helmet
Sina maana hiyo babu...
[FONT=century gothic [B]Kaizer[/B], Kaizer nionee huruma,
KWani moyo unaniuma,
Wengi wapo wanakupenda,
Niachie mwallu amenipenda,
Kaizerrrrr ooh Kaizer.[/FONT]
Subiri yakukute, yalioukuta mtete....
Ni hadisi ya kweli kabisa kaka mkubwa Arushaone.
Msalimie shem Lady doctor.
Sina maana hiyoooooooooooooooo...
Haswaaaaa....
nimejifunza mengi tu, ahsante kwa darasa.
ana bahati sana
anatakiwa apime tena na tena
:smile::smile:
nimeupenda huo wimbo
mmmmh Mentor mbona unaongeza chumvi nyingi kwenye salad ww
Ulishatoa sadaka Mentor kumshukuru Mungu wako lakini? God is great aisee ila nadhani kupitia kwako wengine wajifunze KUTULIA NA MPENZI MMOJA!!
Mhhh!!!Mentor mbona location yako inatisha???'ON MY WAY TO HEAVEN!!!!!!Duuuuuhh!!!
Mentor[B said: