Tanga Sirudi Tena...

Ni kweli Dear, nimefurahi kukuona hapa na kwa salamu pia... Nakusalimu with Love... :hug:

Nimefurahi kukuona pia...nakumbuka mawasiliano yetu ya mwisho...nilifanyia kazi maagizo yako...
Usipotee sana basi...nina mengi ya kushare nawe
 
Nimefurahi kukuona pia...nakumbuka mawasiliano yetu ya mwisho...nilifanyia kazi maagizo yako...
Usipotee sana basi...nina mengi ya kushare nawe

Asante Vin. Saizi nipo... Inaweza kuwa si consistently but am there. So karibu for you are always welcome.
 


Pole, ila ulifanya kosa kubwa sana maishani mwako kwa kuamini demu wakati humjuwi hili ni kosa kubwa sana kwani lingeweza kukuletea madhara pale ulipodharau kinga kutokana na kutawaliwa na hisia. Hii inazuirika, never let hisia zitawale nafsi yako. Mungu kweli ni mkubwa na muweza wa kila kitu, ila kapime tena sehemu nyingine hata kama mara tatu fanya hivyo ili ujijuwe kabisa ukweli wa afya yako. Mungu amekuonyesha maajabu hivyo inabidi umsimulie mpenzi wako usije ukamtesa na kumpa mawazo ya hajabu kama umeathirika. Ni dhambi na Mungu hatokusamehe tena ukimfanyia mpenzi wako madhambi hayo kwani unaweza ukapata mateso zaidi ya anayopata Aneth hivi sasa, tafadhali muelezee mwenzio mapema na usimwonee haibu wala kumuogopa. Ukimwi hupo jamani, si kila kizuri tukionacho ni chema kwani mwanamke mzuri kuwa single si dhambi ila inabidi tujiulize why watu hawamtongozi? Mfano tizama mademu feki (bongo movie) na warembo wa hapa mjini wanavyotombesha kinoma tena na wengine hata hawajikingi wao wanabakia kupima ngoma tu kila kukicha na kupata majibu ya uwongo (ya matumaini), then mtu uje kulala nao tu hivi hivi kisa eti mzuri, jamani si kujitakia kifo huku? Mkuu narudia tena, pole na umwangukie mpenzi wako kwa msamaha. Mungu awalinde katika penzi lenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…