Tanga mapenzi yalikozaliwa

Tanga mapenzi yalikozaliwa

Mbona kama maji yamewekewa dip ya kuoshea ng'ombe…? Au ndo viungo hivyo

Huyu wa Iringa au Mbeya. Wababa wanaugopa baridi hawaogi. Ujue kuna ugeni wa mama mkwe inabidi mama agangamale kumwogesha. Tanga angekuwa amekaa kwenye kigoda.
 
Huyu wa Iringa au Mbeya. Wababa wanaugopa baridi hawaogi. Ujue kuna ugeni wa mama mkwe inabidi mama agangamale kumwogesha. Tanga angekuwa amekaa kwenye kigoda.

Huyo anaogeshwa kutoa chawa na kunguni
 
Unapelekwa kuoga ukiwa umebebwa mgongon,,,unaogeshwa then unapakwa mafuta kwa makalio.....haaaahaaa penda san

Yupo kaka mmoja namfahamu mtu wa Ukerewe alinisimulia alikwenda semina ya siku 5 Tanga, wenzake wakapata 'wenyeji' yeye akala jiwe, akavumilia siku 3, ya nne akajichanganya kwa mabinti wa kitanga. Kwani alitaka kurudi na msafara? Kidogo azamie huko na alikuwa kiongozi wa msafara, wenzake wakatumia lugha laini kumshawishi asibaki. Nikamuuliza kijanja kwani ilikuwaje? Akabaki "mwanangu Tanga we acha tu...." Tanga kunani?
 
Huyu wa Iringa au Mbeya. Wababa wanaugopa baridi hawaogi. Ujue kuna ugeni wa mama mkwe inabidi mama agangamale kumwogesha. Tanga angekuwa amekaa kwenye kigoda.

Inaonekana unauzoef na huo mji wa pwani
 
Inaonekana unauzoef na huo mji wa pwani
Nilikuwa nasomea uuguzi pale Teule Hosp. miaka ya nyuma. Tukamtembelea ndugu wa rafiki yangu niliyekuwa nasoma naye, amepanga nyumba pale mjini. tulitoka nje kukwepa joto, ghafla tukamwona ndume amebebwa mgongoni na dada mmoja anaingizwa bafuni. Halafu sasa, huyo ndume alikuwa dereva wetu pale hospitali. sidhani kama nimevunja ile rekodi ya kucheka ya siku ile....
 
Hahaha, unavyoelezea navuta picha aisee, imebidi nicheki pia
 
Kuna aina ya lugha wanayoitumia hadi mwanaume akubali kujikunja ndani ya beseni au kubebwa mgongoni,nataka test
 
Hahaha, unavyoelezea navuta picha aisee, imebidi nicheki pia

Kesho yake tukamfuata yule kaka dereva tukamuuliza ndiyo nini kufanya kituko kile cha aibu. Yaani wala hakuona kama ni kitu cha ajabu, anasema sasa kama unabebwa ukatae? Anasisitiza na yeye huwa anabeba mkaa na nazi anapeleka kwa bibie. Alikuwa mtu wa Singida miaka 45 hivi. Nikaamini kweli usisafiri kutafuta maajabu.
 
jamani mwacheni mdau amuogeshe bebi wake...mnamfuatafuata wa nini?
 
Back
Top Bottom