Tanga mapenzi yalikozaliwa

Tanga mapenzi yalikozaliwa

Aaaah mbona sijaona kisosi (kisaani cha chai) kikiwa kimewekwa nyanyachungu?
 
Waja leo waondoka mwakani
Inaelekea hayo maji yanavyoonekana rangi yake, yatakuwa 'yameungwa' na tui la nazi!

Jamaa atakapokuwa ametolewa hapo kwenye beseni, huku akiwa amebebwa mgongoni na hilo limama, atakuwa 'keshashiba' hilo penzi la kitanga!

cc; Mamaafacebook
 
huyo yupo kwa kalmanzila anaogeshwa dawa anataka kugombea udiwani hana lolote
 
Mbona kama maji yamewekewa dip ya kuoshea ng'ombe…? Au ndo viungo hivyo
 
Kwanza anaogeshwa na nguo kwa maana hiyo hawezi ondoka kwa sababu nguo imelowa mpaka ikauke na hizi mvua labda siku tatu
pili hayo maji si bure na hiyo Rangi
si ajabu aliletwa Bafuni akiwa mgongoni kama mtoto

ni balaa kabisa,
ndio ukute ni mtu wa kwetu kule kaacha Mke na watoto ili aleta ng'ombe pwani, nadhani mpaka kufikia hatua hiyo kule kwao wameshaanua Matanga kwamba jamaa kafa alipoenda pwani kupeleka ngombe
 
Nataka wakitanga hao hao
 
Back
Top Bottom