Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,380
Nataka wakitanga hao hao
Kaka usiombee, labda siku hizi wawe wamepoteza sanaa ya Mapenzi, Kuna mzee tulimfata kumchukua Tanga alikuwa kama Zuzu

Kwanza anaogeshwa na nguo kwa maana hiyo hawezi ondoka kwa sababu nguo imelowa mpaka ikauke na hizi mvua labda siku tatu
pili hayo maji si bure na hiyo Rangi
si ajabu aliletwa Bafuni akiwa mgongoni kama mtoto
ni balaa kabisa,
ndio ukute ni mtu wa kwetu kule kaacha Mke na watoto ili aleta ng'ombe pwani, nadhani mpaka kufikia hatua hiyo kule kwao wameshaanua Matanga kwamba jamaa kafa alipoenda pwani kupeleka ngombe

Umepatia sn jamaa yuko kwa sangoma. mapenzi gani aoge na nguo halaf amekenua meno.huyo yupo kwa kalmanzila anaogeshwa dawa anataka kugombea udiwani hana lolote
Waja leo waondoka mwakani
Inaelekea hayo maji yanavyoonekana rangi yake, yatakuwa 'yameungwa' na tui la nazi!
Jamaa atakapokuwa ametolewa hapo kwenye beseni, huku akiwa amebebwa mgongoni na hilo limama, atakuwa 'keshashiba' hilo penzi la kitanga!
cc; Mamaafacebook