Tanga... Kunani pale.?

Hapana labda Tanga ya leo... Sio ya Zama zetu mpaka hivi karibuni... Rekodi ya hizi shule inaheshimika mpaka nje ya Tanzania
Magamba boys (shule yangu)
KIFUNGILO girls
Mazinde juu
Soni seminary
Tanga school
Popatilal
Korogwe girls
Etc

Soni seminary nlisoma hapo, wako vizuri
 
kama wana Tanga katu sio jukumu letu kujua huyu katoka wapi , tunachofahamu wazazi wake wanaipenda na kuiamini Tanga kuliko sehemu yeyote ndio maana akawaleta shule Tanga , na heshima inabaki TANGA
kama hilo hulioni basi!
 
Sio kwamba serikali ilitaka kuwapangia mtu, ila Kuna sheria mpya ya TCU inataka vice councilor lazima awe professor, pamoja na DVC ARC na DVC PFA.Aneth Munga ni doctor sio professor, kuchelewa kwa Mama Munga kuachia ngazi ndio ilisababisha chuo kuzuiwa kudahili 2017/2018.

Alipoachia ngazi ndio professor Kihiyo akawa V.C, huku professor Bagandashwa na Kihiyo wakiwa ma DVC.

Kilichofanya SEKOMU ifungiwe ni kwamba chuo kilishindwa kujiendesha.Trust me SEKOMU ni chuo ambacho serikali ilikuwa haitaki kukifunga kabisa, kwa mambo yaliyokuwa yakiendelea pale ingekuwa chuo kingine kingeshafungwa zamani Sana.Ilikuwa ni ngumu SEKOMU kuifungia kwa sababu, kuifungia hicho chuo ni kuua elimu maalumu ambapo kwenye elimu maalumu kwa starndard za SEKOMU kilikuwa kinaongoza Afrika mashariki na Kati.

Kuna mambo mengi yalikuwapo pale mpaka malecture waligoma na wanafunzi kuandamana.Ngoja niishie hapa.
Hii inaleta mwanga. Sharti la VC na ma DVC kuwa professors ni muhimu. Wasije kuweka wake zao.
 
Tanga na elimu wapi na wapi mgosi!
Naanglia pia matokeo ya kidato cha sita, shule ya Eckernforde iko kwenye kumi za mwisho
Ww unatafuta makofi hata ya kuazima...!!!

Historia ya Elimu kwa Tanganyika,ilianza Tanga

Fuatilia vzr,acha kuwa mfano wa chura
 
Kama mtarejea mada yetu ya jana kuhusu SEKOMU,hapo nimejaribu kushare baadhi ya evidence kuonyesha kuwa wakuu bado hawataki kutazama tatizo lililopo kwa uhalisia wake,instead ni kujibizana na vijana kama hivyo. Huyo Mgani alikua staff member kama mimi kwa hiyo ana machungu bcz anafahamu mambo yalivyoenda
IMG-20190715-WA0222.jpeg
 
Tanga, kunani palee...mbona kila kitu kimekufa!?

Nilikua napitia guide book ya TCU. Nimeona vyuo vya Tanga vimepigwa panga tena. Ni kwamba wameshindwa kujipanga na kufanyia marekebisho maagizo ya TCU.

Hapa naongelea SEKOM na Euckenforde. Kwa mafano yuo kama Teofil Kisanji, Marian University, Kampala,Arch Bishop na Mihayo vimerejeshewa udahili. Ni kwamba wametekeleza maagizo ya TCU.

Tanga tunakwama wapi
SEKOM kwa mfano ni muda mrefu badala ya kukaa kujenga mustakabali wa chuo,wametumia nguvu nyingi kulaumu watu. Tulikua na mtu anaitwa Prof Kihiyo...he was very potential, na kimsingi ni mtu wa "system" lakini walimfanyia figisu zisizo na tija. Ila tunaamini wangemtumia vzr angewavusha hapa.

Utaona kwamba hii ni taasisi ya kidini lakini mambo yake yanaleta maswali. Euckenforde sijui wamekwama wapi...Tanga kunani?

SEKOMU ilibeba sana uchumi wa Lsht, watu wali invest kwenye biashara kubwa na ndogo, sasa hali itakua mbaya zaidi.

It pains kuona kwetu kunakufa,watu kama sisi tuna uwezo wa kupata fursa hapa na pale,lakini wengi wa ndugu zetu maisha yao yako pale,wapo waliokopa bank na wapo waliokua wanategemea day work "deiwaka" kuendesha familia zao....IT PAINS
Kihiyo halaf potential!!??
 
Back
Top Bottom