Tanga... Kunani pale.?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
124,240
Points
2,000

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
124,240 2,000
Tanga, kunani palee...mbona kila kitu kimekufa!?

Nilikua napitia guide book ya TCU. Nimeona vyuo vya Tanga vimepigwa panga tena. Ni kwamba wameshindwa kujipanga na kufanyia marekebisho maagizo ya TCU.

Hapa naongelea SEKOM na Euckenforde. Kwa mafano yuo kama Teofil Kisanji, Marian University, Kampala,Arch Bishop na Mihayo vimerejeshewa udahili. Ni kwamba wametekeleza maagizo ya TCU.

Tanga tunakwama wapi
SEKOM kwa mfano ni muda mrefu badala ya kukaa kujenga mustakabali wa chuo,wametumia nguvu nyingi kulaumu watu. Tulikua na mtu anaitwa Prof Kihiyo...he was very potential, na kimsingi ni mtu wa "system" lakini walimfanyia figisu zisizo na tija. Ila tunaamini wangemtumia vzr angewavusha hapa.

Utaona kwamba hii ni taasisi ya kidini lakini mambo yake yanaleta maswali. Euckenforde sijui wamekwama wapi...Tanga kunani?

SEKOMU ilibeba sana uchumi wa Lsht, watu wali invest kwenye biashara kubwa na ndogo, sasa hali itakua mbaya zaidi.

It pains kuona kwetu kunakufa,watu kama sisi tuna uwezo wa kupata fursa hapa na pale,lakini wengi wa ndugu zetu maisha yao yako pale,wapo waliokopa bank na wapo waliokua wanategemea day work "deiwaka" kuendesha familia zao....IT PAINS
 
Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
19,790
Points
2,000

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
19,790 2,000
Tanga, kunani palee...mbona kila kitu kimekufa!?
Nilikua napitia guide book ya TCU. Nimeona vyuo vya Tanga vimepigwa panga tena. Ni kwamba wameshindwa kujipanga na kufanyia marekebisho maagizo ya TCU. Hapa naongelea SEKOM na Euckenforde. Kwa mafano yuo kama Teofil Kisanji, Marian University, Kampala,Arch Bishop na Mihayo vimerejeshewa udahili. Ni kwamba wametekeleza maagizo ya TCU.
Tanga tunakwama wapi
SEKOM kwa mfano ni muda mrefu badala ya kukaa kujenga mustakabali wa chuo,wametumia nguvu nyingi kulaumu watu. Tulikua na mtu anaitwa Prof Kihiyo...he was very potential, na kimsingi ni mtu wa "system" lakini walimfanyia figisu zisizo na tija. Ila tunaamini wangemtumia vzr angewavusha hapa. Utaona kwamba hii ni taasisi ya kidini lakini mambo yake yanaleta maswali. Euckenforde sijui wamekwama wapi...Tanga kunani?
SEKOMU ilibeba sana uchumi wa Lsht, watu wali invest kwenye biashara kubwa na ndogo, sasa hali itakua mbaya zaidi.
It pains kuona kwetu kunakufa,watu kama sisi tuna uwezo wa kupata fursa hapa na pale,lakini wengi wa ndugu zetu maisha yao yako pale,wapo waliokopa bank na wapo waliokua wanategemea day work "deiwaka" kuendesha familia zao....IT PAINS
SEKOM nadhani kuna internal problems. Hao ni KKKT, wana nguvu sana. Kuna kitu hakiendi sawa ndani kwao. Nasikia and this is from my best friend, wanawachangisha waumini kulipa fedha/mikopo ya benki baada ya kuzuiwa kudahili!
Eckenforde alikuwa hana uwzo wa University in all aspects be it infrastructure/superstructure! Alikuwa bado! Ajipange kwa aspect hizo mbili.
 
mathabane

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Messages
2,014
Points
2,000

mathabane

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2013
2,014 2,000
Vyuo vijengewe kulingana na mazingira ya mahali husika.

Ningekuwa mimi, Tanga ningejenga vyuo vya aina hii huko ugosini.

1.Bachelor/ master degree ya mahaba na mapenzi.

2..Bachelor/master degree ya uchawi na mambo ya ushirikina.

3.Bachelor/master degree ya umbea na maswala ya kujipodoa.Tanga, kunani palee...mbona kila kitu kimekufa!?

Nilikua napitia guide book ya TCU. Nimeona vyuo vya Tanga vimepigwa panga tena. Ni kwamba wameshindwa kujipanga na kufanyia marekebisho maagizo ya TCU.

Hapa naongelea SEKOM na Euckenforde. Kwa mafano yuo kama Teofil Kisanji, Marian University, Kampala,Arch Bishop na Mihayo vimerejeshewa udahili. Ni kwamba wametekeleza maagizo ya TCU.

Tanga tunakwama wapi
SEKOM kwa mfano ni muda mrefu badala ya kukaa kujenga mustakabali wa chuo,wametumia nguvu nyingi kulaumu watu. Tulikua na mtu anaitwa Prof Kihiyo...he was very potential, na kimsingi ni mtu wa "system" lakini walimfanyia figisu zisizo na tija. Ila tunaamini wangemtumia vzr angewavusha hapa.

Utaona kwamba hii ni taasisi ya kidini lakini mambo yake yanaleta maswali. Euckenforde sijui wamekwama wapi...Tanga kunani?

SEKOMU ilibeba sana uchumi wa Lsht, watu wali invest kwenye biashara kubwa na ndogo, sasa hali itakua mbaya zaidi.

It pains kuona kwetu kunakufa,watu kama sisi tuna uwezo wa kupata fursa hapa na pale,lakini wengi wa ndugu zetu maisha yao yako pale,wapo waliokopa bank na wapo waliokua wanategemea day work "deiwaka" kuendesha familia zao....IT PAINS
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,815
Points
2,000

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,815 2,000
Tanga na elimu wapi na wapi mgosi!
Naanglia pia matokeo ya kidato cha sita, shule ya Eckernforde iko kwenye kumi za mwisho
Yaani Tanga kutoa shule moja tu katika shule 10 za mwisho unashangaa , sasa Mkoa kama MARA uliotoa shule 3 za mwisho itakuwaje au zenji (mjini magharibi ) iliotoa shule 4 siungeongea mpaka upasuke mdomo, Tanga inakwenda vizuri chukua hii kwa faida yako

1.wasichana 10 bora mchepuo wa biashara , Tanga imetoa mmoja
2.wavulana 10 bora mchepuo wa biashara , Tanga imetoa 1
3.wasichana 10 bora mchepuo wa sayansa , Tanga imetoa 4
4. Wavulana 10 bora mchepuo wa sayansi , Tanga imetoa 0
5.Wahitimu 10 bora kitaifa (wavulana na wasichana) mchepuo wa Sayansi ,Tanga imetoa 1
6. Katika shule 10 bora kitaifa , Tanga imetoa 1
7. labda wewe uje useme mkoa wako na kipi kimefanya katika matokeo haya ya form 6
 
chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Messages
7,394
Points
2,000

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2013
7,394 2,000
Ukweli unauma, ni kwamba idadi kubwa ya watu wa Tanga ni roho korosho. Nimesoma nao, nimeishi nao, na nina fanya nao kazi.

uko sahihi nimefanya biashara ya mawe na watu wa Tanga ata wenyewe tu wanawekeana roho ya korosho. ukiwashinda akili wanakimbilia kuloga.

Tanga wakipunguza roho ya ubinafsi wakapunguza na ushirika Tanga itakuwa mbali sana.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
124,240
Points
2,000

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
124,240 2,000
SEKOM nadhani kuna internal problems. Hao ni KKKT, wana nguvu sana. Kuna kitu hakiendi sawa ndani kwao. Nasikia and this is from my best friend, wanawachangisha waumini kulipa fedha/mikopo ya benki baada ya kuzuiwa kudahili!
Eckenforde alikuwa hana uwzo wa University in all aspects be it infrastructure/superstructure! Alikuwa bado! Ajipange kwa aspect hizo mbili.
Sekom kuna shida iliyotokana na mambo ya kisiasa,...KKKT wanataka mkuu wa chuo awe Mlutheri wakati mamlaka ziliwaletea mkatoliki anayepokea maagizo toka juu
Ukisoma maandishi ya askofu Munga unaweza kuona shida iko wapi na yule Bagonza pia... Hawa hawaogopi kukosoa (kwa weledi)
 
Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
124,240
Points
2,000

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
124,240 2,000
Tanga na elimu wapi na wapi mgosi!
Naanglia pia matokeo ya kidato cha sita, shule ya Eckernforde iko kwenye kumi za mwisho
Hapana labda Tanga ya leo... Sio ya Zama zetu mpaka hivi karibuni... Rekodi ya hizi shule inaheshimika mpaka nje ya Tanzania
Magamba boys (shule yangu)
KIFUNGILO girls
Mazinde juu
Soni seminary
Tanga school
Popatilal
Korogwe girls
Etc
 
Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
124,240
Points
2,000

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
124,240 2,000
uko sahihi nimefanya biashara ya mawe na watu wa Tanga ata wenyewe tu wanawekeana roho ya korosho. ukiwashinda akili wanakimbilia kuloga.

Tanga wakipunguza roho ya ubinafsi wakapunguza na ushirika Tanga itakuwa mbali sana.
Kule ni pwani na kuna mjumuiko wa watu mbali mbali ambao sio wote ni wakazi asilia.. Fika lushoto uone
 
Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
124,240
Points
2,000

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
124,240 2,000
Vyuo vijengewe kulingana na mazingira ya mahali husika.

Ningekuwa mimi, Tanga ningejenga vyuo vya aina hii huko ugosini.

1.Bachelor/ master degree ya mahaba na mapenzi.

2..Bachelor/master degree ya uchawi na mambo ya ushirikina.

3.Bachelor/master degree ya umbea na maswala ya kujipodoa.
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,815
Points
2,000

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,815 2,000
Hapana labda Tanga ya leo... Sio ya Zama zetu mpaka hivi karibuni... Rekodi ya hizi shule inaheshimika mpaka nje ya Tanzania
Magamba boys (shule yangu)
KIFUNGILO girls
Mazinde juu
Soni seminary
Tanga school
Popatiral
Korogwe girls
Etc
Galanos
St.Christina
Usagara
 
Team JPM

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Messages
638
Points
1,000

Team JPM

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2018
638 1,000
Wachague dini, biashara au siasa, Kuendesha yote matatu hawawezi.
Sekom kuna shida iliyotokana na mambo ya kisiasa,...KKKT wanataka mkuu wa chuo awe Mlutheri wakati mamlaka ziliwaletea mkatoliki anayepokea maagizo toka juu
Ukisoma maandishi ya askofu Munga unaweza kuona shida iko wapi na yule Bagonza pia... Hawa hawaogopi kukosoa (kwa weledi)
 
Forum statistics

Threads 1,356,563
Members 518,911
Posts 33,133,274
Top